Slogans za ku-edit

Slogans za ku-edit

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
"CCM HAIKUBALIKI, TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA"

Na wewe edit slogan ambayo unaona maana yake inamantiki kwenye jamii
 
"ccm ilipo na nguvu wakazi wake wengi ni vilaza ('common people' who kwnows nothing about tomorrow)
 
>Tanzania bila STRESS haiwezekani.

>Wamethubutu,
wameweza na
wanazidi kutuburuza !
 
Mimi naitwa Taska Bariiiidaaaaa...

Mwaka 2015 DUNIA YAKO CHAGUO LAKO! HAKIKISHA UNAIPIGIA CHADEMA KURA,NA KAMWE USIIPIGIE CCM KURA...
 
SIASA NI KILIMO(Awamu ya kwanza na ya pili ya urais)
KILIMO KWANZA(Awamu ya 3 ya urais)
SIASA KWANZA (Awamu ya 4)
 
Imagine the possibility of umeme free nation. It begins with Tanzania.
 
Maayo ya kwako nimeikubali sana kaka! Ipo juu!
 
Mnaofikiria kupigia kura vyama ndio mnaotuangusha. CHADEMA au CCM wakiweka jiwe utalipigia kwa sababu wewe ni shabiki wa chama hicho. Hebu tutoke huko jamani tuchague mgombea yoyote atakayesimamia maslahi na ustawi wetu kwa kiwango cha juu kinachotarajiwa na kila mtanzania bila ya kuangalia chama cha siasa anachotoka.
 
Scanning...100%
No threat found..
Mwl J.K Nyerere alituachia maadui watatu lakini sasa wameongezeka-UJINGA,MARADHI,UMASIKINI na CCM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom