Sleep over wazazi mnazichukuliaje?

Sleep over wazazi mnazichukuliaje?

Hawa watoto wa English Medium wana hizi arrangements za sleep over. Kwakweli niitwe zilipendwa hii kitu haitatokea nyumbani kwangu.
Mm huwa chumbani kwa wanangu wa kike si wakubwa clss 2 na 3 halali mtu hakuna cha ndg yangu malezi ni changamoto halafu kumekuwa na katabia kuwa wakiume ndo wako safe sana hata michango ya hu,u unaiona
 
Me naona ina depend na mtoto na malezi,ishatokea binti yangu akaomba ruhusa hio na wala haikuusiana na masomo nkakubali kiroho knadunda hhh..
Mambo ya sleepover baadae yakawa normal na nkawa na comfidence nae sana sbb km mzazi vtu bingi nlkua nampa makavu.
Kimbembe siku nmemkuta eneo la kujidai,nkavuta kiti kukaa akantambukisha,'this is my boyfriend'..
Fastforward,nmerud nyumbani km baba vile vijimawazo kua maskini binti yangu anafanyiwa yale nlyofanyia binti za watu hhh..
Anyway, current ni wachumba, Xmass naexpect kumuozesha..
Malezi muhimu sana hasa sisi wanaume,ishi na watoto wako wape ukweli kipi kbaya,kipi kizuri.as age inavyoenda,mabinti kna vtu watafanya tu hata ukiwa mkali km simba,so ili uspatr presha weka principle zako km mzazi na uzsimamie,na awe anajua tu dingi msela ila kwnye mambo ya msingi heri akutane na wasiojulikana kulko akukoroge.
Am proud of my daughters.
Kunogesha stori nmepishana nae miaka 10 tu [emoji41][emoji41]
 
Kwahiyo ulimpa dem mimba ukiwa na 10 yrs?
 
Back
Top Bottom