Slaykids

Slaykids

0b3f7c9e35d5ae82eee7b4229f6be8df.jpg
 
f179a71e5066cd8e723e66d6b5ed2284.jpg


Kamevaa viatu vya mama ake ila kamependeza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kamenikumbusha kuna mtt wa kaka angu anapenda kuvaa viatu vya watu wazima vya kwake hapendi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kamenikumbusha kuna mtt wa kaka angu anapenda kuvaa viatu vya watu wazima vya kwake hapendi
Wengi ndo tabia zao,nawengine ukivaa ata malapa ya mama zao wanalia hatari
 
Wengi ndo tabia zao,nawengine ukivaa ata malapa ya mama zao wanalia hatari
Usinichekeshe huyo mtt kwetu ni kituko yan ukienda kwao mama ake akupe labda kitenge chake ujifunge akikuona

Hiyo nguo ya mama anguu eeeh si ndio shangaziiii(lafudhi ya kichaga sasa)
 
Usinichekeshe huyo mtt kwetu ni kituko yan ukienda kwao mama ake akupe labda kitenge chake ujifunge akikuona

Hiyo nguo ya mama anguu eeeh si ndio shangaziiii(lafudhi ya kichaga sasa)
Hahahahaaaa uzur wanatambua vitu vyao, Kuna mwingine nguo zake Huez kumvalisha mtoto mwingine, hata kama haimtoshi ukaamua kugawa, akimkuta kaiva atalia
 
Niwatoto...
Mama zao wameamua kuwapendezesha, siunajua ckuiz watoto nao wakipendeza hawakosi hata matangazo ya maduka ya nguo za watoto
Jambo jema,
Mie napenda wangu wawe kiddish
Kuna wakati watakuwa na sitapata nafasi ya kuwaona tena wakiwa na utoto wao.
 
Hahahahaaaa uzur wanatambua vitu vyao, Kuna mwingine nguo zake Huez kumvalisha mtoto mwingine, hata kama haimtoshi ukaamua kugawa, akimkuta kaiva atalia
Kuna siku nimeenda tu kuwasalimia ikatokea nikaambiwa nilale sjaenda na nguo za kubadilisha
Kesho yake mama ake akanipa kijora nikaenda zangu mtaan kwa mashost
Basi tukawa tunarud na mashost watatu
Ile nafungua tu mlango kitoto kikasema
"Shangaziii umevaa gauni ya mama yanguuuuu eeeeh"

Mtt aliniaibisha huyuuuu hatar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom