Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 568
Tutafakar wote, pia cjajuaIzo kamba miguuni hata cjaelewa ndo viatu ama?
Aseeee nasubiri ,au ninaharaka sana
Mmhhhh mrisho mpoto anasema eti ngoja ngoja huumiza matumbo...are you going to prove him wrong?Una haraka sana
Hebu kuwa mvumilivu kidogo..
Mambo mazuri hayataki haraka
Nimeipenda sana hii
Daaah natamani
Hizo ni fashion ila models watoto, kids garmets.huyo jamaa alitaka nguo za watoto wavalishwe wakubwa. Hajui msamehe tuNataman nikusaidie kumpa makavu huyo ila nimemstiri
[emoji7][emoji7][emoji8][emoji38] umefanya nitabasamuuuuuu ......Maneno tu hayo
Mwezi hauishi tutatakuwa tumekamilisha izi mambo
Hilo jina lako wewe ni wakunyumba weweDaaah natamani
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hizo ni fashion ila models watoto, kids garmets.huyo jamaa alitaka nguo za watoto wavalishwe wakubwa. Hajui msamehe tu
Sina ndo maana nimetamani tuKama unabbygirl anza kumvalisha ivo na ujiandae kusemwa kama unaishi na waswahili
Kweli eee [emoji3]Hilo jina lako wewe ni wakunyumba wewe