sawa sawaNgoja ntafute dictionary Nikuletee jibu
Kofiii tuuuu ? Ningeshakuzaba ya mapacha alafu wote wakike [emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngekuwa Karibu ungesha nizaba kofi
.![]()
Aisee huyu kaiba gaun yangu kabisaa
Safi sanaa ,kumbe unaukumbuka muda , utakua na maisha yenye aman sana [emoji39]![]()
Mwakani katakua ivi, hata Ucjal
NdioKatoto ka Jigga ako?
WanapendezaNaona vitenge vinawatoa Sana watoto wa kiafrika