Slaykids

Slaykids

Kuna siku nimeenda tu kuwasalimia ikatokea nikaambiwa nilale sjaenda na nguo za kubadilisha
Kesho yake mama ake akanipa kijora nikaenda zangu mtaan kwa mashost
Basi tukawa tunarud na mashost watatu
Ile nafungua tu mlango kitoto kikasema
"Shangaziii umevaa gauni ya mama yanguuuuu eeeeh"

Mtt aliniaibisha huyuuuu hatar
Hahahahaaaa kama nakuona ulivyoanza kujichekesha na kujielezea

Watoto wanavituko Sana muda mwingine
 
84fe14c3f29e59dd32062c648eca252a.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom