Amependeza kama mtu mzimaaadadek
banaa unielewe ,namaanisha ivi huo mwaka watatu ,tayar nayeye awe namiaka mitatu.Miaka mitatu mbali sana
Tuanze kutafuta saiz bathiiii
Hahahhaaaa mwenyewe napenda ndo maana ninapicha nyingi Sana za watoto,naomba mungu mtoto wangu wa kwanza awe wa kikeyaani jaman napenda pigo hizi kwa mtoto wa kike !nikifanikiwa kupata bbygal jaman niko radhi nijibane mwanang anyuke pamba!