swank
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 748
- 1,043
Achana na hyo avatar, umeona profile yake kazaliwa mwaka gani?Mwambie abadili avatar ndo itafaaa kumpa makavu maana naona kama nitamuharibia siku
Usijichoshe mwaya!
Achana na hyo avatar, umeona profile yake kazaliwa mwaka gani?Mwambie abadili avatar ndo itafaaa kumpa makavu maana naona kama nitamuharibia siku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo maana nimempotezeaAchana na hyo avatar, umeona profile yake kazaliwa mwaka gani?
Usijichoshe mwaya!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mni samehe jamani mi nlkua napita tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo maana nimempotezea
Achana na hyo avatar, umeona profile yake kazaliwa mwaka gani?
Usijichoshe mwaya!
Unaonaje binti yetu akawa zaidi ya huyu?
Mmhhh bana point yangu kubwa ni mwonekano ,i think hata ww umelenga mwonekano .Katatoka kakizungu ivo?
Mm ni mweusi balaaa hata nikichanganya rangi ntapata mtoto mweusi kama mm