Miaka ya karibuni kumekua na wimbi LA wazee kuoa slay queen, na wamekua wakiwaona vijana hawana akili Kwa sababu hawawaoi maslay queen
Ukweli ni kwamba maslay queen wengi wao ni magold digger, ndo maana hawakubali kuolewa na mwanaume wa kawaida ambaye ana kipato cha kawaida, target yao ni wazee wenye ela
Na walioa maslay queen wamekua na mwisho mbaya, wamekufa vifo vya kutatanisha na wapo waliofilisika
Slay queen ni wanawake/wasichana wa matumiz ya kawaida, lakin sio wa kuoa, kwa hy sio kila mwanamke wa kuoa na sio kila mwanaume ni family man
RIP Tycoon Mengi