Slay queen sio mwanamke wa kuoa

Slay queen sio mwanamke wa kuoa

Miaka ya karibuni kumekua na wimbi LA wazee kuoa slay queen, na wamekua wakiwaona vijana hawana akili Kwa sababu hawawaoi maslay queen

Ukweli ni kwamba maslay queen wengi wao ni magold digger, ndo maana hawakubali kuolewa na mwanaume wa kawaida ambaye ana kipato cha kawaida, target yao ni wazee wenye ela

Na walioa maslay queen wamekua na mwisho mbaya, wamekufa vifo vya kutatanisha na wapo waliofilisika

Slay queen ni wanawake/wasichana wa matumiz ya kawaida, lakin sio wa kuoa, kwa hy sio kila mwanamke wa kuoa na sio kila mwanaume ni family man
RIP Tycoon Mengi
Pole Jack... Yatasemwa mengi juu yako... Lakini wakati ndio utaamua
 
Kwa kweli ni muhimu sana kuangalia aina ya mtu unayetaka kuanzisha naye maisha. Kuna watu hawataki kazi wao ni matumizi tu...
 
Demu wa maana ni yule mtafutaji sio anayehemea hela za wanaume.
Namtu anayejitambua haoi mwanamke mchunaji ndio maana asilimia ya matajiri wake zao sura hakuna wala shepu.
Unaoa mtu akuletee shida ndani aongeze bajeti zisizo nampangilio.
Eti mahousegirl kumi au ishirini wewe nani umefanya nini hadi uletewe ishirini.
Hela za wenzako unakula mimi mtu nampa big up nizari tu wengine woi.
Kazi kumendea mali za wenyewe nakuzaa vipakaa.
Ili ale vya watu tu nakusumbua familia za watu.
Kutwa presha.

Sometimes unaandikaga points
 
Back
Top Bottom