Slab City, California
Mji wa kipekee ktk jimbo la California huduma za kijamii kama umeme, usafi, kuzoa takataka na maji ni buree.
Slab City hakuna huduma ya umeme wa gridi ya taifa wala mfumo rasmi wa maji safi wa halmashauri ya mji pia huduma za kuzoa takataka ni wa wakazi wenyewe kujitolea kuzifanya ili mji ubaki safi.
Jambo moja linalozingatiwa ktk mji huo wenye maisha rahisi tofauti na miji ya kawaida USA yenye ughali wa maisha kama bili za umeme, maji, kodi n.k ni msisitizo wa huheshimiana utu wa kila mkaazi ktk mji huo wa Slab.
Habari na Washington bureau VOA :
Source: KTV TZ
Slab City in California state has no official electricity, running water, sewers, toilets or trash pickup service. [3]Many residents use generators or solar panels to generate electricity. The closest body of civilization with proper law enforcement is approximately four miles southwest of Slab City in Niland where the residents often go to do basic shopping.