Slaa soma hapa huko kote unasumbuka bure!!

Slaa soma hapa huko kote unasumbuka bure!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,905
Reaction score
9,335
Itabid tuseme msemo mmoja wa wamarekani **Whether he will bring development or not we will choose Obama to show the world that America is for everyone**.Na sisi tunasema, whether he will bring development or not we will choose LOWASA from UKAWA to show the world that Tanzania is for every one, not CCM only. Mabadiriko ya kweli ni ndani ya UKAWA. Lowasa oyeeeeeee
 
Itabid tuseme msemo mmoja wa wamarekani **Whether he will bring development or not we will choose Obama to show the world that America is for everyone**.Na sisi tunasema, whether he will bring development or not we will choose LOWASA from UKAWA to show the world that Tanzania is for every one, not CCM only. Mabadiliko ya kweli ni ndani ya UKAWA. Lowasa oyeeeeeee

Hawataki......waachie......
YES WE CAN.........
 
**Whether he will bring development or not we will choose Obama to show the world that America is for everyone** chose Lowasa to show ccm that this country does belong to us, no mkapa
 
Yes, LOWASSA for Change! Lowassa for New born Tanzania!
 
Katika.hali isiyo ya kawaidaa CCM baada ya kuona mabango ya Magufuli hayana mvuto wameamua kuyashusha na kujibu mapigo kwa kuweka mabangi yenye vijembe kwa Lowassa
attachment.php
 

Attachments

  • 1441443120404.jpg
    1441443120404.jpg
    63.3 KB · Views: 4,119
Heheheee! Hali yao ni ngumu haswa. Watahangaika saana. 0ct 25 tunakwenda kuwakata waliomkata.
 
nani mlanguzi?......jamani ccm mnakufa si mjifie taratibu..mlanguzi ni nani?kama sio kikwata na familia yake.
 
Wamenikera kwa uonevu wanaoufanya kwa ukawa kwa kushusha mabango ya lowasa kwa visingzio mbalimbali, ccm Aachen uonevu Fanya siasa za kistaarabu.
 
Hahahaha yani hadi mabango yanawatisha, huyo mamvi hazuiliki kwanza akikaakwenye bango tu anaonekana anamvuto kushinda hata kushinda msoga.
 
Sasa hapo mbona ni shida kujua kama hilo la JK limewekwa na ccm.Sababu huo ujumbe unawahusu haohao ccm na kuweka karibu na bango la EL watu watajua yote ni mabango ya UKAWA.Yaan hawa jamaa kila wanalo lifanya linawarudia wenyewe.Mfano wamekataza maandamano wakijua wanawakomoa ukawa,matokeo yake leo wanataka watu waandamane kumuunga mkono slaa.Nimeamini kwel ukawa ni mpango wa Mungu.
 
Ni mtizamo wako tu kama mtz

Humu jf nimegundua Id ambazo ni kongwe nyingi hazimtetei ila kuna baadhi zinamtetea kwa maslahi yao zilizojaa mpya tu

Vijana nendeni field sio kwenye mitandao hapa ni kakikundi kadogo sana ka watu

Hii ndo siasa za tz na watz ni unafiki na wanafiki tu mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom