Wazee dr.slaa kesho atakuwepo mitaa ya skanska hall(sorry kama nimekosea spelling),tegeta road akizindua chadema students organisation(chaso) tawi la ardhi university! Usafiri utakuwepo chuoni kuanzia saa 2 asubuhi! Karibuni, me ntaenda ili kuiwakilisha ardhi kimapambano and nione kama slaa anaweza kunishawishi ili nijiunge naye majeshi! Hadi wakati huu sipo upande wowote kichama tz