ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,989
Siasa bana kweli mchezo mchafu, huyu slaa si ndie aliyechochea zito afukuzwe chadema kwamba ni yuda leo hii ati wako pa1, huyu mzee si alisema siasa basi,
Chadema walimsema Lowasa ni fisadi lakini leo? Sumaye hakuwa anampinga Lowasa lakini leo?