Slaa na Zitto jukwaa moja?

Slaa na Zitto jukwaa moja?

Wasaliti wamekutana

Pesa za marehemu Gadafi zimewaleta pamoja, Membe hapati usingizi anatamani Lowasa afe hata mda huu, ukawa inamkosesha Amani amejaa wasiwasi mkubwa kuwa endapo wataingia ikulu huenda akadaiwa arejeshe mali na mapesa ya Gadafi na wizi mwingine mwingi aliofanya.
 
UKAWA wana mimba ya chuki na ubishi
hawawezi kuzaa Upendo eti wanasema tukipiga
kura tubaki kituoni ulishawahi kusikia wapi
duniani wagiga kura hubaki kituoni ? Kumbe
unakuwa na kichwa kikubwa kichwani lkn akili
hakuna.
Hii ni Nchi huru ina haki ya kubuni mbinu yake ya kulinda kura si lazima tusikie wapi duniani wapiga kura wanabaki kituoni, huko Nchi zingine hawana magoli ya mikono na ni lini Tanzania itafanya cha kuigwa na mataifa mengine? Sasa ni wakati wa Nchi zingine kuiga ya Tanzania ili wawe wanadhibiti wizi wa kura na kupora haki na ushindi.
 
Acha wapanic. Ni wiki ya lalasalama.
Ogopa combination ya dr slaa na Zito,Lazima wanye .
 
Nilimsikia mama anna mghwira kama nimekosea jina nisameheni wa act wazalendo akisema magufuli aache kupotosha watu hii tz ni yetu sote na sio ya magufuli

ACT ni ccm damu wote pesa zote za kampeni na gharama zote wamepewa na ccm huyo mama kama anamsema magufuli atakuwa anazuga zuga akiamini pengine watu hawajui kuwa bila ccm ACT hawana kitu,
 
Siasa bana kweli mchezo mchafu, huyu slaa si ndie aliyechochea zito afukuzwe chadema kwamba ni yuda leo hii ati wako pa1, huyu mzee si alisema siasa basi,

Aliposema yeye siasa basi ulikua ni utashi wake, hata juondoka kwake chadema pia haukua utashi wake. ila hawezi kuendelea kuishi atakavyo na kwa utashi wake ataishi na kutenda kwa kadili atakavyopangiwa na mabosi wake.
 
Safi sana, Uongo hupanda lifti na kufika haraka, lakini ukweli huja polepole na kufika baadae, Lakini Ukifika Uongo hukaa pembeni huku kweli Ikitamalaki!
Dr Slaa hapo awali alimuamini Mbowe, Lakini nadhani yale aliyokuwa akielezwa na Wanamabadiriko kina Kitila Mkumbo kuwa Mbowe hasimamii misingi Sasa atakuwa amejionea Mwenyewe!
Ni vyema Dr Slaa akaungana na Wazalendo, kupitia ACT Wazalendo tukapiga kazi ya kupanda mbegu za Ukombozi!
We may not be there now, but oneday we as a people shall be there!
 
Haisaidii lolote. Sidhani kamawataweza kubadili chochote zaidi yakuharibu zaidi.

Maana kwahali ilivyo sasa mtu yeyote aliyewahi kujitanabaisha kwetu kama mkosoaji mkubwa wa Serikali laghai ya ccm, tukimuona eti Leo anakuwa mtetezi wa serikali hiyohiyo dhalimu tunapata jibu moja tu. Nalo nikwamba kanunuliwa, tena Kwa bei mbaya.

Kama nikatika soka lugha rahisi tunasema Slaa na Zito wamesajiliwa Ccm kwa mkopo. Nawamesajiliwa kupitia dirisha Dogo.
 
Nimefurahi sana dr kurudi tuone ccm wamempa silaha gani na kama akienda mbeya watampoloa mawe mbeya asiende maana bado anaki ya kupata heshima
 
hako kazee sasa kamebuni mladi wa kula pesa za ccm huku zito naye akizitafuna kwa sana, membe kawaleta pamoja baada ya kutumia yake mapesa ya marehemu rais wa libya kanal gadafi kuwapatanisha kisha kuwatumia kama sumu ya kupunguza kasi ya ukawa, watanzania wa sasa wanajua kuwa zito na slaa wao wanakula pesa kisha wawatumie wananchi kusaka huruma zao.

nddorrooobooo!!!!!! Rubish
 
wangeunganisha nguvu tangu mwanzoni hapo wangewin, kwa nini sasa wakati wanajua kabisa mama mghwira hawezi kushinda uchaguzi?, slaa akampeleka lowassa chadema na kumtosa kwa shinikizo la mkewe, aka jiunga na ccm kumtukana Lowasa kama vile sio yeye aliyempeleka chadema halafu akenda kujirestisha marekani na kuwaacha makamanda peke yao wana pambana kufa na kupona.
zitto akimkaribisha basi wote wataangukia pua kwa sababu hili treni limeshaondoka na kituo kinachofuatia ni Kigoma.
Slaa na zitto wakiungana sasa hivi lengo litakuwa ni kuua ukawa ili zitto na chama chake wawe wapinzani wakuu , sio wazo baya ila wamechelewa, kwa wakati huu attack yoyote kwa ukawa maana yake ni kuiweka ccm madarakani, mimi na wananchi wengine wengi tu hatukubaliani na hii hali na wakifanya hivyo act watakuwa wamejiweka rasmi kwenye kundi la ccm , na kwenye ballot tuta wa treat accordingly.
Mwaka huu hapendwi mtu ni sera tuuu!!!!
 
Siasa bana kweli mchezo mchafu, huyu slaa si ndie aliyechochea zito afukuzwe chadema kwamba ni yuda leo hii ati wako pa1, huyu mzee si alisema siasa basi,

..Slaa ameshalipiwa;hivyo sasa anaburuzwa kama inavyotakiwa na magamba,jana nimekaona kwenye ile picha masikini na Kikwete,ooh what a downfall.!
Kazee kamejichokea mwili,na akili, na hata usoni hana tumaini lolote...
 
wangeunganisha nguvu tangu mwanzoni hapo wangewin, kwa nini sasa wakati wanajua kabisa mama mghwira hawezi kushinda uchaguzi?, slaa akampeleka lowassa chadema na kumtosa kwa shinikizo la mkewe, aka jiunga na ccm kumtukana Lowasa kama vile sio yeye aliyempeleka chadema halafu akenda kujirestisha marekani na kuwaacha makamanda peke yao wana pambana kufa na kupona.
zitto akimkaribisha basi wote wataangukia pua kwa sababu hili treni limeshaondoka na kituo kinachofuatia ni Kigoma.
Slaa na zitto wakiungana sasa hivi lengo litakuwa ni kuua ukawa ili zitto na chama chake wawe wapinzani wakuu , sio wazo baya ila wamechelewa, kwa wakati huu attack yoyote kwa ukawa maana yake ni kuiweka ccm madarakani, mimi na wananchi wengine wengi tu hatukubaliani na hii hali na wakifanya hivyo act watakuwa wamejiweka rasmi kwenye kundi la ccm , na kwenye ballot tuta wa treat accordingly.
Mwaka huu hapendwi mtu ni sera tuuu!!!!

...Zitto na chama chake wawe wapinzani wakuu.?? oups..
Yaani ACT ipate wabunge wengi zaidi ya Chadema bara..!au ACT ipate wabunge wengi zaidi ya CUF pemba..!!
Over my dead body; the fact is,wanaungana ili kuendelea kula pesa za escrow, ambazo magamba wanaendelea kuzigawa,no more no less...
 
Kumbe ndiyo aliyokuwa anasema Mzee Mwanakijiji eti tusubiri tarehe 5/10/2015! Watu kweli wazito kuukubali ukweli kwamba muda wa mabadiliko ukifika umefika. Wasije wakashangaa moto wa mabadiliko utakapowalipukia zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Mtanzania bhana, Hiv zitto ni wap aliposaliti? Na alisalit kwa njia ipi, Mfa maji huwa haishi kutapatapa wandugu. Niwakati wa mabadiliko kwel
 
Last edited by a moderator:
umepanic brother!
Kingunge alisema Kikwete na Lowasa wakae waondoe tofauti zao,CCM wakampuuza sasa watu wazima wanaweza kuchana suruali jukwaani ili tu kuonyesha kuwa wapo fit.
Hatuandiki kwa chuki ila kuonyesha ya kuwa CCM kuna pengo kubwa la busara na haya yameonekana katika kampeni,matusi,afya ya mtu.
Haya leo aliyekuwa mzima kawa marehemu.Usiniulize nani
 
Back
Top Bottom