Slaa na Lipumba walikuwa ni vibaraka

Slaa na Lipumba walikuwa ni vibaraka

Lipumba alikula dola million 'moja na Slaa yeye alipewa dola million 1.5 pamoja na kununuliwa Nyumba huko nje, pesa zote walipewa na Membe toka kwenye yale mapesa ya marehemu Gadafi. Sasa yupo busy anauhangaikia uwazi mkuu anajua Magufuli atamlipa fadhila kutokana na kazi kubwa ya fitna aliyofanya ikiwemo kuleta Utitiri wa waganga wa kienyeji toka kila kona za Dunia.
unao ushahidi wa unachokizungumza?
hilo domo lako litakugharimu.
nakushauri futa komenti yako hii fasta.
 
unao ushahidi wa unachokizungumza?
hilo domo lako litakugharimu.
nakushauri futa komenti yako hii fasta.

Mkuu siyo vizuri kuwafunga midomo members kwani ni mawazo tu sasa unaaza kurusha ngumi hewani itakusaidia nini?
 
Ni kweli hata hivyo uwezekano wa uchaguzi kurudiwa ni mdogo sana na ukirudiwa pia maalim anaweza kushinda tu

Inawezekana Maalim akashinda ila uwezekano huo ni mdogo sana nitakupa sababu:
1.Uchaguzi kuwa mgumu upande wa Bara uliifanya CCM ihangaike sana Bara kuokoa Jahazi na kuiachia CCM Zanzibar ihangaike na Zanzibar.
2. Ari na nguvu aliyoileta Lowasa kule Unguja ilimsaidia sana Maalim kupata KURA nyingi toka Unguja akiwa Sambamba na Lowasa.
3.CCM bara na Visiwani watatumia kila aina ya hila na kuwakatisha tamaa wapiga KURA wa CUF Hasa kule Unguja na wengi wanaweza wasijitokeze au kukata tamaa na kuhofia uvunjifu wa amani au mwishowe wakaipa KURA CCM (kuepusha shari)
4. CCM walifuta uchaguzi kwa sababu walishindwa unafikiri watakubali kushindwa tena kwenye Makaratasi
 
Back
Top Bottom