Slaa na Lipumba walikuwa ni vibaraka

Slaa na Lipumba walikuwa ni vibaraka

Kwa namna CHADEMA ilivyokuwa 2009-10 na CHADEMA ya 2014-15 kusema kwamba ati Dr Slaa alikuwa anahujumu upinzani na ndio maana wakapata wabunge wa majimbo 24 ilhali sasa wamepata 35 ni DHAMBI kubwa sana.Kama uhujumu wa Dr Slaa umefanyika kwa upinzani sidhani kama ni kabla ya mwaka huu baada ya kuondoka CHADEMA.
Tumwogope Mungu pamoja na yote yaliyotokea.
 
Slaa atabakia kuwa mwanasiasa jasiri zaidi kuwahi kutoea nchini.
Huyu ndiye aliyeorodhesha viongozi matapeli kwenye list of shame bila kujali nafasi na mamlaka waliokuwa nayo.
Huyu alikubali kuachia nafasi yake na hata kuhatarisha maisha yake kwa kusimamia kile alichokiamini.
Huyu ni shujaa wa mashujaa.Wengine naona maigizo tu.

Hivi sasa hivi unajua yuko wapi?
 
Slaa wa Josephine Mushumbuzi anajisikiaje sasa hivi baada ya kazi nzito ya kuifanyia kampeni ccm na ikashinda!?

Anaona aibu baada ya kusikia cdm imeshinda viti vya ubunge kibao
 
Kwa namna CHADEMA ilivyokuwa 2009-10 na CHADEMA ya 2014-15 kusema kwamba ati Dr Slaa alikuwa anahujumu upinzani na ndio maana wakapata wabunge wa majimbo 24 ilhali sasa wamepata 35 ni DHAMBI kubwa sana.Kama uhujumu wa Dr Slaa umefanyika kwa upinzani sidhani kama ni kabla ya mwaka huu baada ya kuondoka CHADEMA.
Tumwogope Mungu pamoja na yote yaliyotokea.

Slaa ni mhujumu mkubwa wa siasa za upinzani alikuwa cdm achievement yake ni kupata majimbo 23 tu leo hii yupo nje ya cdm kuna wabunge 37 hadi sasa wa majimbo
 
INATIA HASIRA SANA. YAANI HII NCHI NI YA WAPIGA DILI. EE MUNGU SIKIA kilio cha WTZ PAMOJA NA KUTUPATIA RASILIMALI KILA KONA LAKINI HADI LEO MTANZANIA HATA HELA YA KUAZIMWA NA HESLB HAKUNA.

Ccm hoyeeeeee
 
Kwanin mleta post unashindwa kusema slaa na lipumba wamejenga misingi bora na kukifanya chama cdm+cuf kufika hapa vilipo usiangalie matokeo ya juzi hii ni kawaida no: ya MP's kuongezeka tazama idadi ya walioingia bungeni 2005,2010 na Leo 2015 ni jambo la kawaida tu mkuu acha kujitoa ufaham kwa kazi nzuuri iliyofanywa na hawa wazee wawili.
 
Ni wababaishaji na hawafai ktk siasa za mabadiliko kabisa
 
Twambie wewe unayejua hizo sheria basi

Waziri mkuu atatoka miongoni mwa wabunge wa kuchaguliwa na wananchi jimboni,, sio kuteuliwa au viti maalum.Sasa Dr Slaa anawakilisha jimbo gani?
Nafikiri umeelewa
 
Slaa ni mhujumu mkubwa wa siasa za upinzani alikuwa cdm achievement yake ni kupata majimbo 23 tu leo hii yupo nje ya cdm kuna wabunge 37 hadi sasa wa majimbo

Transition tu mkuu.
Fanya hesabu tu kidogo.
2005--wabunge 4 ,2010 wabunge 23. Ni ongezeko la 83%. Hii ni wakati amegombea urais.
Baada. ya 2010 Dr Slaa aliendelea kujenga chama kwa ajili ya 2015 ambako kupitia kwa Lowassa chama kimeongeza wabunge 14 pekee so far au tufanye 15 tukimjumuisha Lema anayesubiri kuapishwa..Hii ni sawa na 39%.
Tuache siasa za kuchafuana zisizo na msingi
Dr Slaa alifanya kazi ya KUTUKUKA kabla ya kujiuzulu.
We mnyamawia vipi? Karibu Kinku
 
Asante mkuu
 
Slaa atabakia kuwa mwanasiasa jasiri zaidi kuwahi kutoea nchini.
Huyu ndiye aliyeorodhesha viongozi matapeli kwenye list of shame bila kujali nafasi na mamlaka waliokuwa nayo.
Huyu alikubali kuachia nafasi yake na hata kuhatarisha maisha yake kwa kusimamia kile alichokiamini.
Huyu ni shujaa wa mashujaa.Wengine naona maigizo tu.

hawa ni majasiri sana, japo mi nachukia watu wanaohusisha kila kitu na ccm, wale watu wanajitambua na wana maamuzi makini yenye ujasiri wa aina yake
 
Ni ndumila kuwili na wachumia tumbo na wabakaji wa siasa za mabadiliko hapa nchini
 
Transition tu mkuu.
Fanya hesabu tu kidogo.
2005--wabunge 4 ,2010 wabunge 23. Ni ongezeko la 83%. Hii ni wakati amegombea urais.
Baada. ya 2010 Dr Slaa aliendelea kujenga chama kwa ajili ya 2015 ambako kupitia kwa Lowassa chama kimeongeza wabunge 14 pekee so far au tufanye 15 tukimjumuisha Lema anayesubiri kuapishwa..Hii ni sawa na 39%.
Tuache siasa za kuchafuana zisizo na msingi
Dr Slaa alifanya kazi ya KUTUKUKA kabla ya kujiuzulu.
We mnyamawia vipi? Karibu Kinku

Hiyo kazi ya kutukuka aliifanya wapi?
 
Viongozi hao wawili naamini walikuwa wanatumika kuvidhoofisha vyama vya CHADEMA na CUF ndio maana kila mwaka uchaguzi wapinzani walikuwa wanaishia 20% lkn leo hawapo CUF imepata zaidi ya wabunge 20+ na CHADEMA zaidi ya 36+.

Naamini hawa jamaa walikuwa ni mawakala na hawafai kabisa kukaribishwa tena ndani ya upinzani.

Yule jamaa ni mwanachama wa JESUIT.
 
Back
Top Bottom