Mkuu inawezekana huyo January anawatumia pia masangoma ili aukwae u pm?
Ma-Sangoma kibao ya kigeni bado yapo Nchini watayatumia kusaka nafasi muhimu, cheo cha Uwazi mkuu ni cha Membe Huyo January labda atapewa Wizara ya Nishati kwenye Ulaji huku mwigulu akiwa Waziri kamili wa fedha,
Hakun haja ya kuwa na mawazo jaman waambue jf ifungwe.
January awe PM kweli? mzaha sasa huu jamani! Mh! Oh!jamani!
Ningeshauri Membe apewe ubalozi wa Tanzania nchini libya
Mimi ni mkulima nina mashamba ya kutosha sijui wewe unayeshinda Lumumba kufuta vumbi viatu vya wakubwa wako
Lipumba!! hapana labda Slaa, kwani Profesa alishiriki maamuzi yote na mwishoni kwa kuwa ni yeye pekee aliyekuwa na maono tofauti baadae hakuwa na jinsi zaidi ya kujiondoa kwenye uongozi,Kama ni kweli alikuwa na dhamira ya usaliti kwa ushawishi wake nadhani hata CUF wasingeshiriki UKAWA,Na la zaidi pamoja na kuyajua lakini hakuwahi kusema madhaifu ya mgombea urais wa ukawa hadharani.The best economic professor in TANZANIA/AFRICA.