Slaa na Lipumba walikuwa ni vibaraka

Slaa na Lipumba walikuwa ni vibaraka

Watu wakitoa mawaxo yao mbawatishia kuwafunga mahakaman.sasa kama hamuhitaji challenges ya mpo dunian???dunia ni challenges daily

Kwa mwana Lumumba yoyote yule akili zake ni za kushikiwa hivyo mkuu ichukulie poa tu hiyo
 
Lkn pamoja na yoote sasa hivi hana nafasi tena cuf/ukawa

Lipumba sasa anajipendekeza kwa Seif baada ya kuona kuwa Zanzibar inaelekea kuwa chini ya Serikali ya CUF, lakini kinyume na hapo lipumba hakuwa na upendo na CUF alikuwa anaponda pesa aliyopewa kwa kwenda mbele.
 
Wakati ukuta, na wao wamefanya vyao. Muda hauruhusu tena waendelee walipokuwa....
 
Kwa mwana Lumumba yoyote yule akili zake ni za kushikiwa hivyo mkuu ichukulie poa tu hiyo

Hao wengi si wa Lumumba bali ni wale vijana wa Membe ujue huyo Membe alitengeneza mtandao mkubwa sana wa kuhakikisha kuwa Lowasa haingii ikulu hata kwa mbinu gani, sasa hicho kikundi chake ndicho huwa busy kupambana na watu humu JF.
 
Mwache afanye roho mbaya ila naye ajue kuwa hiyo nafasi ya ushemeji ndio inaishia muda wake
 
Viongozi hao wawili naamini walikuwa wanatumika kuvidhoofisha vyama vya CHADEMA na CUF ndio maana kila mwaka uchaguzi wapinzani walikuwa wanaishia 20% lkn leo hawapo CUF imepata zaidi ya wabunge 20+ na CHADEMA zaidi ya 36+.

Naamini hawa jamaa walikuwa ni mawakala na hawafai kabisa kukaribishwa tena ndani ya upinzani.

Acheni kupiga kelele sasa kumbe lengo lenu limetimia, sikujua km malengo yalikuwa ni kupata idadi hiyo ya wabunge basi.
 
viongozi hao wawili naamini walikuwa wanatumika kuvidhoofisha vyama vya chadema na cuf ndio maana kila mwaka uchaguzi wapinzani walikuwa wanaishia 20% lkn leo hawapo cuf imepata zaidi ya wabunge 20+ na chadema zaidi ya 36+.

Naamini hawa jamaa walikuwa ni mawakala na hawafai kabisa kukaribishwa tena ndani ya upinzani.
hao ndio vigingi vya vyama. Wametoa uhai wao kwa ajili ya wanyuma yao. Big up them
 
Mnajisahaulisha Lipumba na seif ni Marafiki,Znz wanamkubali Prof. na yeye alizungumzia uteuzi wa Lowassa ndo ulimsuta na si umoja wa ukawa,Yule anajielewa sidhani kama anaweza akaongea aliyoyaongea bila ya kumshirikisha kiongozi wa juu kichama zaidi yake,unless aje mtu aseme ana uhakika Duni,Mbowe,Maalim hawakuwahi kuongea na Lipumba tena mpaka anapojitokeza sasa.Lipumba angeisha thamani iwapo EL angeshinda.
 
Anavunja kivipi? Acha uzushi kama si ukawa Safari hii seif hakuwa na nguvu Zanzibar

Mapshe na apashike. Hajaona CUF ilivyopiga Unguja kwa Surport ya Lowasa, maana Jimbo aliloongoza Lowasa hadi Maalim akatusua mpaka ZEC ikashituka khe Maalim katoboa mbaya Ungujua yote hiyo sababu ya Lowasa. Unguja kuna wabara wengi sana. Mnaombea na haitatokea. Maalim mwenyewe anajua ndio maana anakomaa anajua Uchaguzi ukirudiwa hana chake tena.
 
Mimi binafsi namsifu sana seif Sharif Ahmad maana jamaa huwa ana akili ya ziada ya kumjua mzandiki

Uko sahihi kabisa kama alivyomshtukia Hamad Rashid kabla hajaleta madhara, mwisho wa siku kila MTU kamuona Hamad Rashid ni MTU wa namna gani.
 
Uko sahihi kabisa kama alivyomshtukia Hamad Rashid kabla hajaleta madhara, mwisho wa siku kila MTU kamuona Hamad Rashid ni MTU wa namna gani.

Sana kabisa mkuu si unaona hata chama alichojidai kuanzisha kimeambulia patupu
 
Mapshe na apashike. Hajaona CUF ilivyopiga Unguja kwa Surport ya Lowasa, maana Jimbo aliloongoza Lowasa hadi Maalim akatusua mpaka ZEC ikashituka khe Maalim katoboa mbaya Ungujua yote hiyo sababu ya Lowasa. Unguja kuna wabara wengi sana. Mnaombea na haitatokea. Maalim mwenyewe anajua ndio maana anakomaa anajua Uchaguzi ukirudiwa hana chake tena.

Ni kweli hata hivyo uwezekano wa uchaguzi kurudiwa ni mdogo sana na ukirudiwa pia maalim anaweza kushinda tu
 
Slaa atabakia kuwa mwanasiasa jasiri zaidi kuwahi kutoea nchini.
Huyu ndiye aliyeorodhesha viongozi matapeli kwenye list of shame bila kujali nafasi na mamlaka waliokuwa nayo.
Huyu alikubali kuachia nafasi yake na hata kuhatarisha maisha yake kwa kusimamia kile alichokiamini.
Huyu ni shujaa wa mashujaa.Wengine naona maigizo tu.
 
INATIA HASIRA SANA. YAANI HII NCHI NI YA WAPIGA DILI. EE MUNGU SIKIA kilio cha WTZ PAMOJA NA KUTUPATIA RASILIMALI KILA KONA LAKINI HADI LEO MTANZANIA HATA HELA YA KUAZIMWA NA HESLB HAKUNA.
 
Slaa wa Josephine Mushumbuzi anajisikiaje sasa hivi baada ya kazi nzito ya kuifanyia kampeni ccm na ikashinda!?
 
Back
Top Bottom