Slaa na chaso

Slaa na chaso

nuraj

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2011
Posts
309
Reaction score
236

Slaa akiwa na viongozi wa chadema vyuo vikuu vya Dar
slaa.jpg
 
Gwanda zinawaka tu loh! Safi sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Safi sana. Vijana wanatambua suluhisho la maisha yao liko wapi, siyo sawa na wale vilaza wa UDOM waliochukua pesa za wazazi wao kwenda kumchulia kaka mkubwa fomu ya kugombea urais. Nahisi wanajuta hapa tulipofika.
 
Kweli huyu anafit kuwa rais ajae! angalia protocali ilivyotimia. Halafu anakubalika kama Dr. wa ukweli sio wa kupewa pewa tu.
 
Aisee huyo mtoto hapo mbele ni nani? Anawaka. Mwenye details zake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huyu Dr. Love Anavyotoa macho kwa Mchuchu! Kama vp jion ampeleke Billz kwa Dj mbowe,bili itaenda pale manyanya!
 
Back
Top Bottom