Wanajisumbua tu hawawezi.Nimepata taarifa kuwa Dk Slaa amezungumza na waandishi wa habari leo na kusema ana ushahidi kuwa watumishi wa Usalama wa Taifa wametawanywa mikoa mbalimbali ili kuidhibiti Chadema na kuhakikisha CCM inashinda uchaguzi ujao. Wana JF waliohudhuria mkutano huo watumwagie vitu zaidi.
Nimepata taarifa kuwa Dk Slaa amezungumza na waandishi wa habari leo na kusema ana ushahidi kuwa watumishi wa Usalama wa Taifa wametawanywa mikoa mbalimbali ili kuidhibiti Chadema na kuhakikisha CCM inashinda uchaguzi ujao. Wana JF waliohudhuria mkutano huo watumwagie vitu zaidi.

Ng'wanangwa, acha ubaguzi bana. Watanzania wengi wa dini zote wamechoshwa na utawala wa sasa. Na wote kwa pamoja wanataka mabadiliko. Hitaji la mabadiliko ni la wote bila kuangalia dini.That will work if and only if those homeland security chiefs are Muslims.
Vinginevyo CCM wanatwanga maji kwenye kinu
Hivi hawa Mnao waita usalama wa waifa siku hizi ni wafanyakazi wa CCM? maana sijaona la maana wanalo lifanya zaidi ya kusikia wanatumika kwa jili ya kutishia wananchi na kukandamiza baadhi ya watu wanakaoonekana kuwa tishio kisiasa...
Alafu sasa hivi wamekuja na mpya ya kutishia wananchi kuwa vyama vya upinzani vitaleta vita na upuuzi mwingine kama huo.

Priority ni usalama wa chama au wa taifa? Ila mambo yalivyo, hata huku kumejaa wasanii tu. Tunawasubiri katika vibar vyetu vya mtaani watupe story. Kama
Alafu sasa hivi wamekuja na mpya ya kutishia wananchi kuwa vyama vya upinzani vitaleta vita na upuuzi mwingine kama huo.
that is an old fashion threat, sasa hivi watu hawadanganyikiHivi hawa Mnao waita usalama wa waifa siku hizi ni wafanyakazi wa CCM? maana sijaona la maana wanalo lifanya zaidi ya kusikia wanatumika kwa jili ya kutishia wananchi na kukandamiza baadhi ya watu wanakaoonekana kuwa tishio kisiasa...
Alafu sasa hivi wamekuja na mpya ya kutishia wananchi kuwa vyama vya upinzani vitaleta vita na upuuzi mwingine kama huo.
Say it again, SAA YA UKOMBOZI NI SASATanzania sasa imeiva kwa mapinduzi na mageuzi ya kweli. Na ikifikia hapo hakuna nguvu yoyote inayoweza kuwazuia. Achilia mbali maofisa wa usalama wa Taifa kutawanywa, hata kama jeshi zima linamwagwa, kamwe haliwezi kuvunja roho ya mapinduzi. SAA YA UKOMBOZI NI SASA.
hakuna tumbo joto, wao ndiyo matumbo joto, sie twasonga mbelejamani mbona tulikuwa na matumaini ya kushinda, kuchukua viti vingi vya ubunge wanatutia tumbo joto tena.