Njoka Ereguu
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 821
- 336
We bibi acha izo kila anaempinga hawara yako ni masalia acha kuweweseka leeni mjukuu huyoM23/PM @Work mnanunaje sasa, ila poleni masalia CDM haikufi mtabadili ID na mtapambana wenyewe kwa wenyewe
Ameshaanza uongo tulipumzika kidogo kusikiliza pumba zake.
naona unakimbiza kivuli chako mwenyewealiyemkana mungu na kuacha kumhubir leo anaitwa chaguo la mungu!aliemtelekeza mke aliyepewa na mungu leo ni chaguo la mungu!aliyekua kinara wa migogoro na maaskofu leo ni chaguo la mungub! mtu anaelipwa mshahara mkubwa tofauti na rank za chama chake leo ni chaguo la mungu!dr alipoteza baraka za urais alipoanza kukiwekea chama chake mashart ya kugombea.amen
Babu huenda sio mzima.
Nimemsilikiza Dr Slaa....
Niliamua kuchelewa kazini ili niweze kuupata muelekeo wa huyu mtu....
Kwa sasa Tanzania hakuna kiongozi mwenye kuja mambo ya uongozi kama huyu, mawenye upeo mkubwa kama huyu, na anae wajua watanzania na anajua hasa wanatakiwa wafanayiwqe nini kwa sasa!!
Kinana hamfikii hata kwa njiti ya kibiriti, Mkapa kamwacha maili elfu, JK ni "maiti" dhidi Dr Slaa!!
Ameshindwa kuongoza apishe wengine.[/QUOT iliwaingie vibaraka wenu kina zito imekula kwenu upande.
Ajabu kitu gani? hao unaowaita vibaraka amewakuta na chama chao na atawaacha haina umbea hiyo.Ameshindwa kuongoza apishe wengine.[/QUOTE= iliwaingie vibaraka wenu kina zito imekula kwenu upande.