Sawa kwanini usiseme ya 2005?Hii PICHA NI YA MWAKA 2010 WAKATI wa uchaguzi mkuu. mleta mada anajaribu kuuhadaa umma
Sawa kwanini usiseme ya 2005?Hii PICHA NI YA MWAKA 2010 WAKATI wa uchaguzi mkuu. mleta mada anajaribu kuuhadaa umma
unatumia kichwa kufugia nywele, halafu unakunywa gongo kuliko kawaida ndio mana ubongo umeharibika. na utabaki hivyo hivyo nyamafu wewe.watakutumia kama ile mipira mpaka uje ushtuke una mvi kama za babu yako halafu huna kitu. mjinga wewe
Ccm ni mashetani! Waondoke kwa style ya mabina! Puuuuuuuuuuuuuuuu!
Hii PICHA NI YA MWAKA 2010 WAKATI wa uchaguzi mkuu.
changia mada ndg picha ci muhimu sana.changia kama alichosema ni kweli ama si kweli,picha inaweza kuwa ya maktaba lakn ujumbe uliolengwa ukafika.usitawaliwe na miemko ya upenzi wa mtu bali hoja ya msingi.
Hii PICHA NI YA MWAKA 2010 WAKATI wa uchaguzi mkuu. mleta mada anajaribu kuuhadaa umma
tuko makini sana mkuu na huu uongo wa hawa walevi wa gongo. wanatumia picha za matukio ya mwaka 2010 kumpamba slaa baada ya kuona anadoda katika mikutano yake.
Shetani hulaani mipango ya Mungu daima!nyie ni wauwaji wakuu. chadema ilaaniwe daima
we ulikuwa na nia gani kuweka picha hii? ulikuwa na maana ya kuuaminisha umma kuwa alijaza watu kiasi hicho. Kwanini usiweke picha ya siku hiyo? Sasa watu wakisema ukweli unasema watu wana ushabiki, kwani wewe kilichokusukuma kufanya hivyo si ushabiki huohuo? Kwanini wana chadema mkifanya jambo basi zuri ila akifanya mwingine basi ni mbaya? Acheni ubinafsi uliopita kiasi... ( sina chama mimi)tatizo lenu ni picha au ujumbe?mbona mandela alivyofariki amkutaka iwekwe picha ya wakati ana miaka 95?yaani ccm mpo kishabiki sana mpaka tuna hoji vichwa vyenu mnatumia kufikiri au kufugia nywele
tatizo lenu ni picha au ujumbe?mbona mandela alivyofariki amkutaka iwekwe picha ya wakati ana miaka 95?yaani ccm mpo kishabiki sana mpaka tuna hoji vichwa vyenu mnatumia kufikiri au kufugia nywele
mkuu tuthibitishie hilo, kumbe unawajua waliorusha bomu kanisani?
Hii PICHA NI YA MWAKA 2010 WAKATI wa uchaguzi mkuu. mleta mada anajaribu kuuhadaa umma