Slaa ataja sababu za CCM kung’ang’ania madaraka

Ccm ni mashetani! Waondoke kwa style ya mabina! Puuuuuuuuuuuuuuuu!

gongo ni hatari kwa afya yako hasa ubongo
attachment.php
 
tatizo lenu ni picha au ujumbe?mbona mandela alivyofariki amkutaka iwekwe picha ya wakati ana miaka 95?yaani ccm mpo kishabiki sana mpaka tuna hoji vichwa vyenu mnatumia kufikiri au kufugia nywele

hoja zake hizi hapa
attachment.php
 
Dr. Slaa ni tegemeo kubwa sana chadema, ila mtoa mada amekosea kutuwekea picha ya mwaka 2010 hii si sawa!
 
mavi ya kale hayanuki. Slaa ni mtu wa kuhurumiwa na kupuuzwa tu, ameishiwa hoja amebaki na sera za kuungaunga. acheni gongo vijana wake.amkeni
 
kama amechakachua picha atashindwaje kuchakachua maandishi. weka video

Jibu swali, kilichoandikwa kipo au hakipo? Kina mantiki au hakina? Hicho ndicho cha muhimu zaidi kuambiwa Watanzania. Unaogopa umati maana mnajua idadi ya wanaoshikiwa akili inazidi kupungua kila kukicha! Mnalo hilo!
 
Babu anataja ufisadi kama vile yeye hahusiki, anadhani hatujui anavyotafuna ruzuku ya Chadema akishirikiana na Mbowe?
 
OK, hebu tuubali kuwa picha ni ya mwaka 200 hivyo tuiondoe kwenye thread. Lakini je na hoja alizotoa nazo zitatoka?
hoja ya slaa kwa sasa ni kuhalalisha gongo. mleta mada amechakachua picha na ujumbe. hatuwezi kuamini uzushi huu mchana. asubiri usiku tukiwa usingizini
 
Hii PICHA NI YA MWAKA 2010 WAKATI wa uchaguzi mkuu. mleta mada anajaribu kuuhadaa umma
Usivyokua na akili shetani wewe katika maandishi yote ulichoona ni picha tu?Ni heri angezaliwa nyumbu kuliko wewe katika hii dunia badala yako.
 
angetaja na mbowe kung'ang'ania uenyekiti ningefurahi sana,kwamba ndo chance yake ya kutongozea ..........!!
 
Watu wa Mungu mnarusha mabomu kanisani.

Hizo ngonjera zenu hata nyie wenyewe mnajua hazibadilishi ukweli halisi wa mambo yalivyo nchini. Na kwa bahati mbaya kwenu ni kuwa maisha magumu yamefaya hata mbu mbu mbu wa mwisho vijijini waamke!
 
Jibu swali, kilichoandikwa kipo au hakipo? Kina mantiki au hakina? Hicho ndicho cha muhimu zaidi kuambiwa Watanzania. Unaogopa umati maana mnajua idadi ya wanaoshikiwa akili inazidi kupungua kila kukicha! Mnalo hilo!
wanaoshikiwa akili? Teh teh, mkuu wengi wako vijijini mkuu!
 
Jibu swali, kilichoandikwa kipo au hakipo? Kina mantiki au hakina? Hicho ndicho cha muhimu zaidi kuambiwa Watanzania. Unaogopa umati maana mnajua idadi ya wanaoshikiwa akili inazidi kupungua kila kukicha! Mnalo hilo!

nimekuuliza. kama mmeweza kuchakachua picha, mtashindwaje kuchakachua maelezo?? slaa kwa sasa anapigania gongo sasa wewe unapomlisha maneno tukueleweje??
 
Ataje pia sababu za yeye na Mbowe kung'ang'ania uongozi wa chama..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom