Slaa ataja sababu za CCM kung’ang’ania madaraka

Slaa ataja sababu za CCM kung’ang’ania madaraka

Hili liko wazi jamani! Hii chama cha Demokrasia na Maendeleo ni CHAGUO LA MWENYENZI MUNGU kwa wanainchi wa Nchi yetu wajamen.
Acha KABISA ushirikina wewe. TENA UKOME, mungu hana chama,
pili chadema imejaa wazinifu, wavunja ndoa za watu, wanaoacha ndoa zao na kutembea na mahawara ( mwenyekiti na joyce mukya), walisha watu sumu, wamwagia watu tindikali, wanaojilipua mabomu, wasababishia watu ajali za magari, wauwaji kwa bastola (rejea ishu ya mamake zitto na makada wa chadema kule tabata). chadema ni chama cha mashetani na wamwaga damu. wabaguzi wakabila na wadini
 
Usivyokua na akili shetani wewe katika maandishi yote ulichoona ni picha tu?Ni heri angezaliwa nyumbu kuliko wewe katika hii dunia badala yako.
unatumia kichwa kufugia nywele, halafu unakunywa gongo kuliko kawaida ndio mana ubongo umeharibika. na utabaki hivyo hivyo nyamafu wewe.watakutumia kama ile mipira mpaka uje ushtuke una mvi kama za babu yako halafu huna kitu. mjinga wewe
 
Kitu ambacho sikielewi siku hizi unaootajwa UFISADI NA MAFISADI basi Pro-CCM wote wanautetea kwa nguvu zote. Swali langu hivi CCM siku hizi kimekuwa chama cha UFISADI NA MAFISADI? Hii sio CCM ile aliyoiasisi Nyerere ya kukumbatia UFISADI NA MAFASADI. Am I missing something?!
 
CHADEMA tatizo lenu ushamba wa kupinga kila kitu,lkn kuna vitu mumesaidia kuwapushi CCM na SELIKALI kujirekebisha,kusema hamkusaidia kitu,ni Upumbavu,ningefrahi Upinzani mungeongeza viti bungeni uchaguzi ujao.Kushika DOLA hapana tuaminiane kwanza,viongozi wenu wakuu zimewashinda ndoa wataweza NCHI.
 
Acha KABISA ushirikina wewe. TENA UKOME, mungu hana chama,
pili chadema imejaa wazinifu, wavunja ndoa za watu, wanaoacha ndoa zao na kutembea na mahawara ( mwenyekiti na joyce mukya), walisha watu sumu, wamwagia watu tindikali, wanaojilipua mabomu, wasababishia watu ajali za magari, wauwaji kwa bastola (rejea ishu ya mamake zitto na makada wa chadema kule tabata). chadema ni chama cha mashetani na wamwaga damu. wabaguzi wakabila na wadini
teh teh, tumeshapata ya chadema,je ya maccm vip?
 
CHADEMA tatizo lenu ushamba wa kupinga kila kitu,lkn kuna vitu mumesaidia kuwapushi CCM na SELIKALI kujirekebisha,kusema hamkusaidia kitu,ni Upumbavu,ningefrahi Upinzani mungeongeza viti bungeni uchaguzi ujao.Kushika DOLA hapana tuaminiane kwanza,viongozi wenu wakuu zimewashinda ndoa wataweza NCHI.
teh teh, mkuu yaani wewe unafananisha nchi na ndoa! Duh, what is Ndoa by the way!non sense!
 
Tungoje mda ujiri tujue nini kitafanikiwa na nini hakitafanikiwa
 
Mkono wa babu vipi? Au mmeshindwa qkupishwa picha hizo idara ya propaganda
Idara imeelemewa na kupelekea kukosa umakini kabisa. Nakumbuka zile picha zinazosoma tarehe za mwaka 2011
 
Back
Top Bottom