Slaa anasema.....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa anasema.....!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bornvilla, May 26, 2012.

 1. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  "Kama tunalipa
  wabunge sitting
  allowances, basi tulipe
  walimu standing
  allowance, polisi
  standing allowance!"- Dr.Slaa
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  ccm kupitia JK alisema pale diamond siku anahutubia wazee wa dar-sizihitaji hizo kura zenu(waalimu,mapolisi,manesi) kura zenu ni kama 400,000 tuu!!!
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Anawakumbuka walivyomkurupuwa alipojificha kwenye maspika?
   
 4. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Unamaanisha hao polisi na walimu ndio walimkurupua au? Kisa nini hadi walimkurupusha?. Naamini Polisi wanaweza kufanya kitu chochote wanachoamliwa na CCM kufanya bila ya kujali madhara yake ya baadae kutokana na mfumo wenyewe wa utawala wa kuilinda CCM na serikali yake ya kifalme huku serikali ikinufaika na uelewa mdogo wa Polisi ambao wengi kuwa vilaza waliofeli masomo shuleni na kuamua kukimbilia katika kazi hiyo, wanaogopa wasipotekeleza matakwa ya Magamba wakiachishwa kazi hakuna pa kukimbilia mtaani na failures zao.
   
 5. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nahisi JK alitamuka bila kufiki kuwa hao walimu na mapolisi ni watanzania ambao kwenye uchanguzi wataongeza kura!
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Walipomkurupuwa ilikuwa wanaiga zile harakati za Egypt umesahau? au anakumbuka walipomtoa damu (or was it tomato sauce) mchumba bila kubaki na kovu wala jeraha? maigizo mengine yanakuwa "live". Kwi kwi kwi teh teh teh !
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  JK anapeta mwaka wa saba sasa! unafikiri atagombea tena? sheria haimruhusu.

  Kuna kila dalili ya kuchelewa kwa katiba mpya hivyo kuna uwezekano ifikapo 2015 muda wa kupiga kura ukasogezwa mbele kwa mwaka mmoja na kumfanya Kikwete apete tena kwa mwaka zaidi. Ukiwa hai utanikumbuka.

  Naomba katiba mpya imruhusu kubaki madarakani kwa miaka 10 mingine.
   
 8. M

  MSOFFE JR Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ribosome
  inaelekea unamkubali sana JK unaweza kueleza amefanya nini hadi aongezewe muda.
   
 9. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mr.PUMBAMAN
   
 10. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  kwa mchakato huu kufikia 2015 haiwizekani JK kuongezewa Mwaka uonikama ndoto.acha pumba Ribosome.
   
 11. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  Tatizo la binadamu wote tuna hofu sana ya mabadiliko.
   
 12. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Hii ni Old School Bana!!
   
Loading...