.........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...
Nyie ndio wale wale mnaoona wivu baba zenu kulala na mama zenu chumba kimoja.
ritz kwa ushuzi !usipende sana kunde.
Tunakushangaa zaidi wewe na ubwege wako, badala ya kujadiri maswala ya kisera unakuja na upumbavu wako hapa. Rose kamili anauhusiano gani na bei ya korosho wewe kinyago?.........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...
Kaka zile PhD za kipaimara zinaongoza Dunia ikiwemo Tanzania , ni PhD zile zile zinawaunganisha watu walioko chinin yao unlike waislam wasio na mpangilio wanalia lia muda wote na kubakia kujawa na roho ya mauti na kuiba bia za watu na kudhani Korani inapiganiwa kama vile haina nguvu.PhD za kipaimara hata leo Tanzania zinaongoza Nchi hata wakiwa nje ya uongozi still they are strong and we are strong mptapiga kelele lakini PhD ziko zinatambuliwa si kama wale viongozi wenu ambao lazima uwe mfuga majini ndiyo uwe shekhe wa msikiti.
- HUYU mzeee naye anazeeeka vibaya sana dhambi ya mke wa mtu inaanza kumtafuna sasa hajielewi kabisa, anaacha kujishangaa mwenyewe kujilipa hela za wananchi walipa kodi Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ambazo wala hazina risiti anajipa tu, leo anamshangaa Kiongozi wa Chama Tawala tena Mkubwa kuliko yeye na aliyechaguliwa na wanachama wote wa CCM, wakati yeye amechaguliwa na Mtei tu, halafu ndio mnasema huyu afanye mdahalo na Kinana, yaani aibu tupu!!
Le Mutuz!!
Babu ana ugonjwa wa kusahau; atashangaa mangapi? Hayakumshangaza yake ya kumkimbia Rose Kamili angeanza na yake kabla ya kumshangaa Kinana
Chama
Gongo la mboto DSM
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mkuu upo?nilifikiri ulishaanza kuokota makopo bana
- ha! ha! ha! ha! Sichaguliki kuliko Chadema, wewe umewahi kusikia chama gani Duniani toka kianzishwe hakijawahi kushinda Urais, yaaani hata Udiwani taabu tupu sasa hicho ni chama gani? afadhali kufukuzwa na mke kuliko kujidai unataka kuwakomboa wananchi wanakuamini unaanza kuwainia wake zao, and then unaiba mke mdogo kuliko wewe kwa miaka 40, halafu eti ni chama kinachokubalika kinakubalika na nani?
- Chama kinachokubalika na wananchi kinaanza kuonyesha dalili kwa ksuhinda viti vingi vya Udiwani, kama huwezi kushinda Udiwani utashinda vipi Taifa, yaani huko hata common sense tu hakuna, it is time to quit siasa nyie Chadomo!!
Le Mutuz!!
Kinana ameingia tu na wameanza kujinyea nyea.
- HA! HA! HA! HA! HA! vipi umeshaanza nini sasa kama ile tabia ya mlevi kuamini wengine wote ni walevi unaaamini na wengine wote wanaokota makopo kama wewe na chama chenu Chadema, tulizeni boli hapa, mimi ninawapa za uso ambazo hamuwezi pewa na mtu yoyote huko kwenye real World,
- FACTS: Toka iazishwe sasa ni miaka 25 Chadema haijawahi kushinda Urais, wala kufikisha viti 50 tu bungeni!!
- FACTS: Dr. Slaaa na Chadema wameshagombea Urais wa jamhuri na kushindwa vibaya sana na kushia kupata kura yake mwenyewe tu!!
- FACTS: Mbowe na Chadema wamewahi kugombea urais wa jamhuri na kuishia kupata kura yake mwenyewe tu!!
- FACTS: Chadema majuzi imeshindwa vibaya sana kwenye uchaguzi wa madiwani kwa kuishia kuapata viti 5 tu kati ya 27!!
POWA NGOJA NIWAHI KUOKOTA MAKOPO!! ha! ha! ha!
Le Mutuz!!
.........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...
- HA! HA! HA! HA! HA! vipi umeshaanza nini sasa kama ile tabia ya mlevi kuamini wengine wote ni walevi unaaamini na wengine wote wanaokota makopo kama wewe na chama chenu Chadema, tulizeni boli hapa, mimi ninawapa za uso ambazo hamuwezi pewa na mtu yoyote huko kwenye real World,
- FACTS: Toka iazishwe sasa ni miaka 25 Chadema haijawahi kushinda Urais, wala kufikisha viti 50 tu bungeni!!
- FACTS: Dr. Slaaa na Chadema wameshagombea Urais wa jamhuri na kushindwa vibaya sana na kushia kupata kura yake mwenyewe tu!!
- FACTS: Mbowe na Chadema wamewahi kugombea urais wa jamhuri na kuishia kupata kura yake mwenyewe tu!!
- FACTS: Chadema majuzi imeshindwa vibaya sana kwenye uchaguzi wa madiwani kwa kuishia kuapata viti 5 tu kati ya 27!!
POWA NGOJA NIWAHI KUOKOTA MAKOPO!! ha! ha! ha!
Le Mutuz!!
hii ni lugha ya picha mjomba.usijisahaulishe kwamba na wewe pia ni marehemu mtarajiwa!