Hivi huyu mzee ameshawahi kufanya hata safari moja kwenda ughaibuni ukiachilia Italia ambako alipatia upadri? Maana kila siku namsikia yupo hapahapa tu Bongoland. Unajua waswahili husema tembea uone.
huyu ni bwana mdogo sana,kaingia town na kujikuta mikononi mwa baadhi ya magamba,anatetea asichokijua,naijua familia yao na najua anakotoka,kama anabisha ajitokeze sasa hivi nipasue kila kitu nimwache uchi wa mnyama
<br />
<br />
Unachosema kinaweza kuwa na ukweli lakini vipi hoja yangu ya msingi? Tetesi zimeenea huku kwamba jamaa (Slaa) hajawahi kugusa Obamaland toka azaliwe. Kuna chembe ya ukweli hapo?
<br />
<br />
HUKO KWA MURA DENGE WANAISKIA TU?NI MSUBA NA GONGO NDO MANA UBONGO ZAO MPAKA ZISHTULIWE KWA HENDEL!!! KWANI MAREKANI NDO NINI? INGELISAIDIAJE TAIFA HILI MASKINI MNO YE ANGEENDA HUKO?! AU NI UHARIBIFU TU WA KODI ZETU JITU LINALANDALANDA KAMA ALBADILI ILIYOKOSA UKOO!
Wazee waliposema kuwa uyaone hawakumaanisha maghorofa au meli zinazoelea walimaanisha watu kama huyu MW 25 inawezekana naye kaonjeshwa ya mwarabu koko!! haiwekani tena nasema haiwezekani Rais wetu kuwa Rahisi hata kununuliwa nini sijui ................. ila VIJANA NDIYO WANAONUNULIWA HATA KUSHINDWA KUSAIDIA TAIFA HATA KUFIKIA MAHARI TUENDELEEEE KUTHUUUUBUTU