Slaa amerejea nchini

Lipumba je? vipi na yeye
Ameenda kufanya research ya wiki moja Ethiopia kuhusu uchumi atarudi na data na conclusions kama alivyofanya ile research ya wiki moja Rwanda! Maprofessor wengine wanashangaza.
 
Nilijua tu mods watafuta comment yangu,ila anazokashifiwa Lowassa zinaachwa.
Sio case,mmefuta comment yangu ila hamtoweza kuifuta KURA yangu!

Wamefuta comment yako hata sijaona ilikuwa inahusu nini kamanda?
 
Dr. Slaa ana akili kuliko wasanii waliobaki CHADEMA. Anakuja na bomu ambalo nyie wenyewe hamtaamini.Kujua impact ya Slaa, subiri siku si nyingi.

waache misukule ya mbowe haitakuelewa kwa sasa. mipumbavu na milofa ya fikra
 
Sisi TUPO katika kampeni ZA wagombea urais NA sio hawa waganga njaa
 
Mtamuita majina yote lakini ndiyo amewachanganya chadema,mnachokijibu ni hasira tu,hamkutegemea kama anaweza kuachana na siasa za chama uchwara
 
Hivi bado ana-impact yoyote huyu mtu? Labda aitishe conference ya kuchukua kadi rasmi ya ccm,! Hata hivyo,nadhani hii tamaa ya Dr na Mkewe imepita kipimo. Mungu atawahukumu hapa hapa,

Well said mkuu👏👏👏👏
 

kila mzalendo ameamka. anapambana kuzuia jaribio LA mwanaharamu, mwizi, fisadi, na mchumia tumbo kuingia ikulu. fisadi no malaika was shetan
 
Dr Mihogo bhana
Ye aje tu ikiwezekana ampitie na lipumba....vu aje nae wafanye ujinga conference nyingne alafu wakimalza watatuambia.
 
Hahahahahaa....ameona tangu kaondoa ameishia kuandikwa na gazeti la sani......mwee hii sio kuporomoka kisiasa bali ni kufa kisiasa...pole babu cassava tulikupenda lakini Josephine kakupenda zaidi....
 
wadau.

Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani.

Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi.

Be first to know
hana tena influence...

ataishia kwenye TV tu...

Hata akirudi ukawa, bado hana influence yoyote
 
kila mzalendo ameamka. anapambana kuzuia jaribio LA mwanaharamu, mwizi, fisadi, na mchumia tumbo kuingia ikulu. fisadi no malaika was shetan
Hebu tuambie ufisadi wa El. ..Hebu fanya listing za ufisadi wake.
Mbona nyie mna nganda nia richmond, hivi kuna mafisadi mangapi ya me fanyia na viongozi tena tuanze na huyu mzee wa fastjet. ...mbna escrow hamzungumzi mko kimya tu.
acheni kuwa kama malay
 
Hana impact yoyote ashashikwa huyo na umri nini ndio tunavozidi msahau
 

kila mzalendo na wrote wenye mapenzi mema wameamka na wanapigana kumnusuru mama yetu kipenzi,Tanzania, asiangukie mikononi mwa mwizi, mcumia tumbo na fisadi papa lowasa. lowasa atasubili sana. atamtoa wapi baba was taiga amnenee radhi..haiwezekani. bado siku 24 lowasa atambuwe kuwa maneno ya marehemu hayabatilishwi kwa nguvu za pesa Bali toba.
 
wadau.

Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani.

Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi.

Be first to know

Kuna mdau kaniambia yupo pale Southern Sun Hotel ...Gardern Avenue Posta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…