Ok tukubali Lowassa ni mchafu....then what is the way forward..
Kwenye List of shame kwa nini yeye peke yake anazungumzwa....
Je ni kwa sababu anagombea uongozi,kama ndiyo vipi kuhusu walioko madarakani na wametajwa kwenye list..
Chadema wako strategic saana,walijuwa EL atakuwa next Presida kupitia ccm ndiyo maana wakaanza kumchafuwa ili wao Chadema washinde kiurahisi.
Mimi naamini wako mafisadi zaidi yake na wengi wanatumika kwa kulipwa kuendelea kumchafuwa lakini siku ya siku mbele ya Mungu wetu hatujui watsema nini.
Dr. Slaa ana akili kuliko wasanii waliobaki CHADEMA. Anakuja na bomu ambalo nyie wenyewe hamtaamini.Kujua impact ya Slaa, subiri siku si nyingi.
Slaa ndio nani na anagombea uraisi, ubunge au udiwani?
Mihogo itapanda bei
Hivi bado ana-impact yoyote huyu mtu? Labda aitishe conference ya kuchukua kadi rasmi ya ccm,! Hata hivyo,nadhani hii tamaa ya Dr na Mkewe imepita kipimo. Mungu atawahukumu hapa hapa,
Bado anahiji
Najipendekeza nini kwa malofa !?
Tunamkaribisha sana sana; hope this time round atamalizia kula matapishi yake.wadau.
Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani.
Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi.
Be first to know
Mna weweseka mkisikia Dr. Slaa amerudi. Mnaanza kumshambulia kabla hata hamjahakikisha kama kweli amerudi. Mtakoma ubishi mwaka huu, aliyewadanganya kumshabikia mtu anayejinyea kwenye nguo amewaweza kweli kweli. Hivi kweli ukiwa na akili timamu unaweza kumpigia kura mgombea anayejinyea??? Hapana aisee, mtu kama huyu anapaswa awe amepumzika tena chini ya uangalizi wa madaktari, sio kuhangaika kwenye majukwaa ya siasa. Tamaa zingine zitawatokea watu pabaya.
Hizo ndizo zilizo mtajirisha Lowassa mpaka akamnunua Mbowe, Mtei na Mr 0 !