Kwa njia hiyo mkuu huwezi kuwaepuka hao watu, nilkuwa nasikiliza radio moja kuwa marekani wanavi-chip vifaa vya electronic vya aina nyingi na vinapeleka data moja kwa moja usalama wa taifa, hata watu wakijitahidi kukwepa software jamaa watapitia kwenye hardware na kuhusu umasikini unafikiri watatudidimiza mara ngapi mkuu, hawa jamaa wanambinu nyingi tu ukiachana na njia ya mawasiliano