Jay_255
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 446
- 1,430
Nina uzoefu na hizi mambo taarifa za bank za kibongo rahisi kukataliwa .... Labda iwe equity ndio inapita..Namaanisha hizo taarifa ziwe mkononi ndo nizipige picha siyo zipo online sasa maana ake nikiomba taarifa bank halafu ni print ndo nipige picha nitume
Nishapambana nazo hiz kwenye mambo ya google account verification