Skin jeans habari ya mjini

Skin jeans?au unazungumzia leggings?
 
wanaotengeeza hizo nguo ni wanaume ..... acha tuvae bwana kujifunika funika ya nini?

Ni kweli wametengeneza wanaume ila dhumuni lilkuwa ni kama night dress au unatangulza then unafunika na dela, lakini nyie asa iv mnazurura nazo mtaani mchana kweupe bila kuzifunika na madela hii ni hatari!!
 
baba kelivi mbona katika kuzionyesha au kuzitangaza hawaonyeshi kama ni za kuvalia ndani... si kweli lengo ni tuonyeshe tulichonacho
 
Code of ethics ifanyiwe maboresho kuondokana na hii hali tu
 
Sio skin jenas ni skinny jeans ...!!!!
 
kwa mda huu naona madenti kwenye parking za magari makubwa chiiini ni buku mbili yako yaaa ni majanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…