Sizonje usicheze reggae kwenye blues, unakosea..!!

Nimesha sema Ficha taaluma yako na sikiliza nini politicians wana ku guide, leo mkurugenzi anamueleza Technical ,engineer wa wilaya ile hali yeye mkurugenzi kasomea Procurement
 
Kwani ile j2 ya tarehe tajwa hapakuwepo na mechi ya ligi kuu?
ilikuwapo ligi ya kufa mtu, east africa na dunia walifuatilia kwa makini mno, jeshi la polisi likiwa na magari ya washawasha na bunduki lilinitanda kila kona kuhakikisha ligi inamalizika salama, ukweli tarehe tajwa hapo juu ilikuwa ya kuogofya, lkn Mungu ni mwema ligi ilisha
 
Kwani ile mechi ya tar 25.10.2015nani aishinda? ile ya kuzuiamkutano waccm dodoma usifnyike nan lingua? je Ukuta nao mlifanimwa? na ilevita dhid ya mafsad naona mmeachanna nayo baada ya kusajil fisad au mzima nikiwa mtujuze plz
 
Kutofautiana kiitikadi, kisiasa, kidini, kimaarifa nk ni afya kwa taifa lolote duniani. Angalia huko mnakotembeza bakuli hawaabudu chama kama mnavyoaminishwa hapa na Ccm!

Fungua kichwa chako usibaki ndani ya box
Hivi kweli ina maana kuna watu ambao hawajui wala kutambua umuhimu wa siasa na itikadi kinzani kwa uhai na maendeleo ya nchi au wanaamua tu kujitoa fahamu ili kujipendekeza kwa WATAWALA (siyo viongozi)...hata kwenye afya zetu wote sambamba na HAKI ya kupata na kutoa habari wanaona ni sawa tu.....KWELI WENGINE ZINAWATOSHA WENYEWE.
 
Kutofautiana kiitikadi, kisiasa, kidini, kimaarifa nk ni afya kwa taifa lolote duniani. Angalia huko mnakotembeza bakuli hawaabudu chama kama mnavyoaminishwa hapa na Ccm!

Fungua kichwa chako usibaki ndani ya box

Hata asipobaki ndani ya box haisaidii kitu kwa sababu kichwa chenyewe ni box tupu.

Hovyo, tena jinga kabisa Lupyeee.
 
Chadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.

Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.

Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,

Shame on you
Nioneshe lami ya ccm na ya chadema .
 
Tatizo Sizonje anapiga [HASHTAG]#mataputapu[/HASHTAG] kabla ya mechi.
Amekuwa mbishi, hashauriki, mjuaji, mkurupukaji, hana utu......
[HASHTAG]#mataputapu[/HASHTAG] mabaya jamani
Nasikia sizonje na kidonge pia anapiga aka cha arusha
 
Chadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.

Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.

Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,

Shame on you

Kiviko kibovu chadema nyumba za serikali zilizouzwa kwa bei sawa na bure chadema escrow chadema IPTL ni chadema Lugumi Chadema melemeta chadema Chadema walijenga Hotel south Afrka kwa kodi za wananchi Mandela RIP akagoma kuizindua Chadema wamefika kipindi wamezuia bunge live tuzijue Mambo ya Lugumi sasa wanadili na JamiiForums watu wasiendelee kuikosoa chadema nchi hii Chadema na Ukawa mmeifikisha pabaya mpaka wanafunzi wamekosa mikopo kwa ajiri yenu Wakati wa Bunge mlitoka nje mmefunga midomo mpaka tumeshidwa kujenga viwanda kwa ajiri yenu Kwa ujumla UKAWA Mungu anawaona
 
Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.

Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani.
Barabara ipi iliyojengwa na Magufuli ??
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.

Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani.
CHADEMA ni mafisadi? kivipi?
 
Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.

Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani.
Upumbavu mwingine huwezi hata kupima yaani fedha zetu wanyonge na za mkopo kutoka Kuwait leo Magufuli aonekane ndio zake unajikomba Zaidi ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaamu kwa kusifia ujinga kabisa sema sasa maana Mkapa na Kikwete walithubutu hivi huyu Magufui Zaidi ya MV Dar es salaam mbovu kipi ameweza ring roads Kikwete daraja la baharini Kikwete ,Ndagote Kikwete Reli ya gauge kubwa Kikwete yeye anachoweza kumuweka Lema max ndani na kumpoteza Ben
 
Ameshazoe kutibolewa

Meli ya wachina ,tobo 5-0

Mv Uwizi mtupu, tobo 7-0
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom