Sizonje usicheze reggae kwenye blues, unakosea..!!

Kilityme

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
218
1,000
Mpendwa Sizonje, Siasa na taaluma ni vitu viwili tofauti japo yenyewe nayo ni taaluma. Siasa haitakiwi ichanganywe kwenye taaluma nyingine. Hebu angalia:-
1. Kwenye mechi yako na sukari ulipigwa 3-0
2. Kwenye mechi yako dhidi ya wazee wa bandari ulipigwa 3-0
3. Kwenye mechi yako dhidi ya earthquake fc ulipigwa 3-0
4. Kwenye mechi ya jana dhidi ya Zika fc umepigwa tena 3-0

Haya ni matokeo ya kuchanganya siasa na utaalamu...yaani ni sawa na kupata mizuka ya kucheza reggae kwenye Blues.
 
Lupyeee

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
2,685
2,000
Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.

Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
51,153
2,000
Tatizo Sizonje anapiga [HASHTAG]#mataputapu[/HASHTAG] kabla ya mechi.
Amekuwa mbishi, hashauriki, mjuaji, mkurupukaji, hana utu......
[HASHTAG]#mataputapu[/HASHTAG] mabaya jamani
 
umande

JF-Expert Member
May 11, 2012
314
250
Chadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.

Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.

Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,

Shame on you
umeyaona matokeo ya mechi hapo juu lakini?
 
Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
8,306
2,000
Chadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.

Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.

Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,

Shame on you
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringbackBenyalive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Justice4Lema[/HASHTAG]
 
lycan

Senior Member
Apr 28, 2012
169
225
Chadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.

Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.

Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,

Shame on you
Haya kachukue buku tano
 
Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,116
2,000
Chadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.

Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.

Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,

Shame on you
mkuu,hio barabara ya mtwara to bukoba inapitia mikoa ipi?
 
Regnald Patrick Almasi

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
325
250
Chadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.

Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.

Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,

Shame on you
Umeishiwa cha kuposit unawapa nguvu ya hoja wenzio unakopi na kupesiti kila posit... Fanya vitu vipya unaniangusha
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,049
2,000
Chadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.

Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.

Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,

Shame on you
Kutofautiana kiitikadi, kisiasa, kidini, kimaarifa nk ni afya kwa taifa lolote duniani. Angalia huko mnakotembeza bakuli hawaabudu chama kama mnavyoaminishwa hapa na Ccm!

Fungua kichwa chako usibaki ndani ya box
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom