Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Sizonje kashakata moto. Hana tofauti na Gari la mkaaa, tripu shamba, tripu gereji .


[emoji23][emoji23]

Nimecheka kwa sauti kubwa!

Hakika JF ni Burudani tosha! [emoji4][emoji4][emoji4]


Kumbe magari ya mkaa ndivyo yalivyo?!

Sikujuaga!

Niliwahi kusikia magari ya takakata ya Manispaa mengine yakifika Mlimani hayaingizi gia hivyo inabidi dereva awe na watu 2-3 pale mbele wasaidiane kuishikilia gia ili ikubali isihame hadi wamalize kupanda mlima[emoji3][emoji3]

Hii ya habari ya gari ya taka nimeisikia leo kwako [emoji3][emoji3]
 
Njumu za China zikiitwaga six meno
 
Acha Sizonje avune alichopanda ,

Huwezi ligawa Taifa kwa sababu ya tofauti za kiitikadi.

Twende na Mwamba toka kanda ya Kati.
 
πŸ‘‹πŸΎ πŸ‘‹πŸΎπŸ‘‹πŸΎSizonje
 
Umeongea Kama maalim Nash, nasubiria Diwani part two
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…