Kwa kweli mmenikumbusha mbali sana, kwani tulikuwa tunabeba kila kitu kichwani.. HEBU MWENYE REKODI YA HADITHI YA WALE WATU WATATU WALIOJIFUNIKA NA MAJANI VITANI NA KUAMBIANA WAKAE KIMYA ADUI WAKIPITA. WA KWANZA BAADA YA KUKANYAGWA ALILALAMIKA "MBONA MNAKANYAGA WENGINE KAMA MAJANI?', WA PILI AKASEMA 'SASA KWA NINI WEWE UMESEMA?' NA WA TATU AKASEMA 'HERI MIM SIJASEMA' NA WOTE WAKAUAWA KWA KUCHOMWA MIKUKI. mwenye kumbukumbu ya mtiriko wa hadithi tafadhali!!