Sizitaki Mbichi hizi...Sungura Bana!

Sizitaki Mbichi hizi...Sungura Bana!

hahaha!mh!long time ago!yaani umenikumbusha miaka ya 80s nilipokuwa std 1&2
 
Hadithi inayokuja,ni ya sungura sikia,
Alitoka siku moja,njaa aliposikia
Siku ile akaenda,porini kutembelea,
Porini kutembelea,sungura nakuambia.

Akayaona matunda,mtini yameenea,
Sungura akayapenda,mtini akasogea,,,,mengine sikumbuki.Aisee umenikumbusha mwaka 83 nikiwa std 3!Ndio hivyo tena enzi huwa hazirudi.
 
Back
Top Bottom