mwalimu watu wengine wanawaza ngono tu, na hawa ndio wezi huko mtaani maana hawafanyi kazi wanawaza kufikisha wanawake kileleni wakati hawana hata wake au wachumba...shiit nimeanza kukereka na thread za aina hii
hivi nyie hamchoki kudiscuss nyuchi za kike??
umeamkia huko alfajiri ya leo lkn hapa upo unaidiscus
jion ya leo ukirudi umo humo humo lkn na mchana huu unataka uendelee kuidiscuss
hamkinai tu???
sijui ingeumbwa na sura nzuri mngefanyaje manake nahisi watu kama nyie mngekata mtembee nazo mifukoni.