Mgoyangi
Senior Member
- Feb 6, 2008
- 184
- 9
Jamani hebu angalieni Bunge hususani wakati wa jioni muone viti jinsi vilivyo wazi, inatia aibu kuona wabunge wetu wanavyotoroka Bungeni, hatujamsikia Spika akilipigia kelele hili.
Tumewatuma wabunge wakazungumziematatizo yetu, lakini wao wanatubwaga. Kama wakati huu wanakuwa watoro ukubwani je walipokuwa watoto ilikuwaje shuleni
Tumewatuma wabunge wakazungumziematatizo yetu, lakini wao wanatubwaga. Kama wakati huu wanakuwa watoro ukubwani je walipokuwa watoto ilikuwaje shuleni