Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,169
- 48,451
Imezoeleka na kulazimishwa na CCM kwamba watanzania wamuite Rais wao "mama" badala ya "Mheshimiwa Rais" ama "Ndugu Rais".
Madhara ya kumwita Rais Mama ni pale anapoona kama vile anaowaongoza ni watoto wake na yeye ni mlezi katika misingi ya umama badala ya usimamizi wa serikali kama Rais anayeisimamia serikali kwa wakati husika.
Samia Hassan Suluhu ni Mheshimiwa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania na wala siyo mama wa watanzania.