Siyo Magufuli Tena ni Shein Simiyu?

Siyo Magufuli Tena ni Shein Simiyu?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,939
Reaction score
10,823
Nimeshangazwa na mabadiliko ya mgeni rasimi katika kilele cha Mwenge wa uhuru, na kuazimisha miaka 17, y kifo cha Mwalimu hapo awali tulijulishwa kuwa mgen rasimi atakuwa MAGUFULI SASA leo tena ghafla eti mgeni rasmi atakuwa Dr sheini, kwa nini amegaili? je haoni umuhimu wasiku ya kesho kwake? je haoni umuhimu wa kuazimisha miaka 17 ya kifo cha baba wa taifa?
 
Mh rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi amewasili Bariadi jioni hii tayari kwa shughuli ya kuzima mwenge kesho.
 
Kwa vile yeye hakwenda ndo akaamua kuwazimia wenzake hizo posho?
 
huu ni mwenge wa uhuru wa tanganyika,ulipandishwa kilimanjaro mwaka 1961,sasa rais wa zanzibar atawaambia nini watanganyika?

nafikiri mkuu kawakacha wanamsakama kuhusu ajira
 
sifi leo mbona barua ya jana ya kuwataka watu warudishe posho ilieleza mgeni rasmi atakuwa nani? Au wengine hamkuliona hilo hadi mstuke leo.
 
Mh rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi amewasili Bariadi jioni hii tayari kwa shughuli ya kuzima mwenge kesho.
Yeye kwao ni mapinduzi mwenge wa ninunamhusu nini
Hapo pana kiza
 
Mi nafikiri ni mwanzo mzuri wa hatimaye kuachana na hii shughuli ya kukimbiza moto.
Siri ya mwenge ni kubwa, sema gharama zipunguzwe,tazama somalia hawana mwenge lakini wao wanakimbiza risasi.
 
Siri ya mwenge ni kubwa, sema gharama zipunguzwe,tazama somalia hawana mwenge lakini wao wanakimbiza risasi.
Teteteee...we ni zaidi ya mganga wa kienyeji...unaamini mwenge ndo unaleta amani Tanzania?
 
Nimeshangazwa na mabadiliko ya mgeni rasimi katika kilele cha Mwenge wa uhuru, na kuazimisha miaka 17, y kifo cha Mwalimu hapo awali tulijulishwa kuwa mgen rasimi atakuwa MAGUFULI SASA leo tena ghafla eti mgeni rasmi atakuwa Dr sheini, kwa nini amegaili? je haoni umuhimu wasiku ya kesho kwake? je haoni umuhimu wa kuazimisha miaka 17 ya kifo cha baba wa taifa?
Wewe vipi?
Nani alikujulisha magufuli atakua mgeni rasmi?
Shein ni Rais wa Zanzibar,ni sahihi kuzima Mwenge ,hebu muacheni Magufuli
 
Mwenge hauepukiki! Lazima uangaze amani katika Taifa letu!
 
Wewe vipi?
Nani alikujulisha magufuli atakua mgeni rasmi?
Shein ni Rais wa Zanzibar,ni sahihi kuzima Mwenge ,hebu muacheni Magufuli
Mwenge sio wa muungano,bora hata angeenda Pm majaliwa
 
If Magufuli is really for Poor Tanzanians he sh'd DELETE/BAN UHURU torch and not this minners post action n decision which have no positive benefits for the time.
 
Back
Top Bottom