Siyo lazima Serikali itoe taarifa ya kila kitu

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
2,275
Reaction score
2,383
kuishutumu serikali kuwa kwa nini haikutoa taarifa juu ya kushikiriwa kwa ndege yetu kuko Canada siyo sahihi kabisa kwa sababu naamini kulikuwepo na mazungumzo ili ndege iachiliwe.Hata ndani ya nyumba yako si kila kitu utamwambia mkeo au watoto wako.Yako mambo lazima utayafanya kuwa ya siri ilimradi hayahatarishi maisha ya familia!kwani wewe mh Lissu kila kitu huwa unamwambia mkeo au watoto wako?

kwamba ndege imeshiliwa kwa sababu tunadaiwa na kampuni fulani kwa sababu ya kukattisha mkataba wao wa ujenzi sioni tatizo hapo.kushindwa mahakami siyo tatitizo na huko nyuma niliwahi kusema kushindwa mahakami kunategemea makosa yenyewe au mwanasheria mwenyewe,kumshutumu rais wetu kwa maamuzi anayotoa siyo uzalendo hata kidogo.juzi mumeenda kenya kumsema rais wetu kuwa ni mbaya kana kwamba huyo Kenyatta atashika bunduki awaingize ikulu!!sasa Raila odinga amepinga matokeo ya urais mahakami.sasa ikitokea matoheo yakabadilishwa sijui chadema na lissu mtajificha wapi.

kuna mazungumzo kati ya ACCASIA na serikali yanayoendelea.sasa kitendo cha chadema kuonyesha kuwa yamkini tulishika makinikia kwa makosa ni usaliti kwa taifa letu kwa sababu hata wazungu wanatuona mazuzu .AFRICA haiwezi kuendelea ikiwa tunapambana sisi kwa sisi.kitendo hiki cha chadema kumtuhumu rais wetu hakina tofauti na vita vya wenyewe kwa wenyewe kama vile vya Burundi,CONGO,RWANDA NA SOMALIA NA SUDANI KUSINI!!!Leo mnapambana na rais ili mwingie madarakani .rais wetu anapotaka kukatisha mikata au kama huko nyuma akiwa waziri alikatisha mikata ni kwasababu ya nia njema tu isipokuwa wako watu wanahujumu mipango ya serikali.hili ni tatizo kwetu Aafrica kwa sababu ni bara la watu weusi mpaka kwenye mioyo yao ,ni bara liliojaa watu wanafiki wanaouza nchi zao kwa wazungu.

huko nyuma chadema ilihubiri nchi nzima kuwa wakiingia madarakani watafuta mikata yote mibovo je mngeifutaje?au ni ile tabia ya kubadili gia anagani kutulisha uongo kama mlivyosema kuwa Lowasa ni fisadi?na kama viongozi wenu wangekuwa wasafi MH MBOWE angeonekana mkwepa kodi mpaka Bilicanas ikafungiwa au vyovyote vile ilivyofanywa?Sumaye angekuwa msafi angenyang'anywa mashamba?

mwisho niseme kuwa yamkini mmenunuliwa siyo bure!!! mtapambana lakini hamtashinda...........
 
Rais sio Malaika kwamba kila anachokifanya ni sahihi na inabidi apongezwe. Ila nimependa ulivoandika inaonekana wewe mwanasiasa mlokole, "mtapambana hamtashinda... "

Itufae Shoe Shine
 
Kama siyo lazima, kulikuwa na ulazima gani wa kutoka na kumjibu Lissu baada ya kutoa maelezo yake kuwa ndege ilizuiliwa kwa sababu ya madeni?
 
Mimi naona mleta mada amechanganyikiwa. Kazi ya upinzani ni kuisimamia serikali, kufichua maovu ya serikali, nk. Na hapa Chadema imefanya kazi yake ipasavyo na inahitaji ipongezwe. Wewe unafikiri huku kukurupuka kwa watawala kunakopelekea nchi kulipa mabilioni ya fedha, tungeelezwa na serikali?

Kuongoza kunaitaji hekima na busara na sio mabavu. Hakika nakwambia hapa ndani kama sio woga uliowajaa watumishi serikalini sidhani kama mambo yangeenda.
Wazungu sio waoga na hakuna wanachohofia kwetu Hivyo huwezi waburuza au kuwatisha.

Inauma kuona kodi zetu zinatumika kulipa madeni yasiyo ya lazima eti kisa mtu mmoja au kikundi flani kinatafuta sifa binafsi.

Ila ipo siku tutaheshimiana
 
kuishutumu serikali kuwa kwa nini haikutoa taarifa juu ya kushikiriwa kwa ndege yetu kuko Canada siyo sahihi kabisa kwa sababu naamini kulikuwepo na mazungumzo ili ndege iachiliwe.Hata ndani ya nyumba yako si kila kitu utamwambia mkeo au watoto wako.Yako mambo lazima utayafanya kuwa ya siri ilimradi hayahatarishi maisha ya familia!kwani wewe mh Lissu kila kitu huwa unamwambia mkeo au watoto wako?

kwamba ndege imeshiliwa kwa sababu tunadaiwa na kampuni fulani kwa sababu ya kukattisha mkataba wao wa ujenzi sioni tatizo hapo.kushindwa mahakami siyo tatitizo na huko nyuma niliwahi kusema kushindwa mahakami kunategemea makosa yenyewe au mwanasheria mwenyewe,kumshutumu rais wetu kwa maamuzi anayotoa siyo uzalendo hata kidogo.juzi mumeenda kenya kumsema rais wetu kuwa ni mbaya kana kwamba huyo Kenyatta atashika bunduki awaingize ikulu!!sasa Raila odinga amepinga matokeo ya urais mahakami.sasa ikitokea matoheo yakabadilishwa sijui chadema na lissu mtajificha wapi.

kuna mazungumzo kati ya ACCASIA na serikali yanayoendelea.sasa kitendo cha chadema kuonyesha kuwa yamkini tulishika makinikia kwa makosa ni usaliti kwa taifa letu kwa sababu hata wazungu wanatuona mazuzu .AFRICA haiwezi kuendelea ikiwa tunapambana sisi kwa sisi.kitendo hiki cha chadema kumtuhumu rais wetu hakina tofauti na vita vya wenyewe kwa wenyewe kama vile vya Burundi,CONGO,RWANDA NA SOMALIA NA SUDANI KUSINI!!!Leo mnapambana na rais ili mwingie madarakani .rais wetu anapotaka kukatisha mikata au kama huko nyuma akiwa waziri alikatisha mikata ni kwasababu ya nia njema tu isipokuwa wako watu wanahujumu mipango ya serikali.hili ni tatizo kwetu Aafrica kwa sababu ni bara la watu weusi mpaka kwenye mioyo yao ,ni bara liliojaa watu wanafiki wanaouza nchi zao kwa wazungu.

huko nyuma chadema ilihubiri nchi nzima kuwa wakiingia madarakani watafuta mikata yote mibovo je mngeifutaje?au ni ile tabia ya kubadili gia anagani kutulisha uongo kama mlivyosema kuwa Lowasa ni fisadi?na kama viongozi wenu wangekuwa wasafi MH MBOWE angeonekana mkwepa kodi mpaka Bilicanas ikafungiwa au vyovyote vile ilivyofanywa?Sumaye angekuwa msafi angenyang'anywa mashamba?

mwisho niseme kuwa yamkini mmenunuliwa siyo bure!!! mtapambana lakini hamtashinda...........
SERIKALI ZA KIDIKITEITA, SIYO ZA KIDEMOKRASIA
 
Mleta uzi umekuja na andishi refu nikadhani uko neutral. Lakini kadiri ulivyoendelea ukahamia kwenye siasa na kuishia kumshambulia Lissu yeye binafsi. Basi kwakuwa andishi lako sio la kitaifa bali la kisiasa acha tukujibu kisiasa. Je Magu anawafanyia sawa washindani wake kisiasa? Ni mtu anayejali demokrasia? Hayo maendeleo anayaleta kwa kodi zetu wote lakini anavyozungumza ni kama anaonyesha hela ni za mfukoni kwake na ccm yake. Katika mazingira ya kuleta maendeleo na kuweka itikadi za chama chake mbele unategemea wapinzani wake wafanyeje? Kibaya zaidi hayo maendeleo kiduchu ndio anaaminisha kwamba upinzani haufai.

Sio mara moja au mbili tumesema miradi ya maendeleo isitumike kufanya siasa za ccm na kampeni je tabia hiyo imekoma? Ni mara ngapi tunaona sare za ccm kwenye miradi ya maendeleo, lugha za kejeli na kebehi kutoka kwa rais mwenyewe dhidi ya wapinzani? Haishii hapo bali hutumia jukwaa hilohilo la miradi ya maendeleo kupokea wanachama wa ccm toka upinzani. Sasa wengine wakicheza siasa kwenye maendeleo mnahamaki nini? Hali hii haitaisha leo wala kesho mpaka mkulu mwenyewe ajirekebishe, na vile mnaogopa kumwambia ukweli basi safari hii kazi mnayo.
 
Tatizo hiyo ndege ilitangazwa kwa mbwembwe mkuu ia ilitumika kama mtaji wa kisiasa..kama tumetangaziwa mpaka na tarehe ya kurudi Dreamliner ambayo inakuja tarehe ya mbali kabisa...kwanini hii ambayo nayo tuliambiwa itakuja tusiambiwe maana hotuba tofauti tofauti imetajwa hiyo ndege itakuja na kama haijaja wangesema hata kama bila kutaja kwamba tunadaiwa
 
kuishutumu serikali kuwa kwa nini haikutoa taarifa juu ya kushikiriwa kwa ndege yetu kuko Canada siyo sahihi kabisa kwa sababu naamini kulikuwepo na mazungumzo ili ndege iachiliwe.Hata ndani ya nyumba yako si kila kitu utamwambia mkeo au watoto wako.Yako mambo lazima utayafanya kuwa ya siri ilimradi hayahatarishi maisha ya familia!kwani wewe mh Lissu kila kitu huwa unamwambia mkeo au watoto wako?

kwamba ndege imeshiliwa kwa sababu tunadaiwa na kampuni fulani kwa sababu ya kukattisha mkataba wao wa ujenzi sioni tatizo hapo.kushindwa mahakami siyo tatitizo na huko nyuma niliwahi kusema kushindwa mahakami kunategemea makosa yenyewe au mwanasheria mwenyewe,kumshutumu rais wetu kwa maamuzi anayotoa siyo uzalendo hata kidogo.juzi mumeenda kenya kumsema rais wetu kuwa ni mbaya kana kwamba huyo Kenyatta atashika bunduki awaingize ikulu!!sasa Raila odinga amepinga matokeo ya urais mahakami.sasa ikitokea matoheo yakabadilishwa sijui chadema na lissu mtajificha wapi.

kuna mazungumzo kati ya ACCASIA na serikali yanayoendelea.sasa kitendo cha chadema kuonyesha kuwa yamkini tulishika makinikia kwa makosa ni usaliti kwa taifa letu kwa sababu hata wazungu wanatuona mazuzu .AFRICA haiwezi kuendelea ikiwa tunapambana sisi kwa sisi.kitendo hiki cha chadema kumtuhumu rais wetu hakina tofauti na vita vya wenyewe kwa wenyewe kama vile vya Burundi,CONGO,RWANDA NA SOMALIA NA SUDANI KUSINI!!!Leo mnapambana na rais ili mwingie madarakani .rais wetu anapotaka kukatisha mikata au kama huko nyuma akiwa waziri alikatisha mikata ni kwasababu ya nia njema tu isipokuwa wako watu wanahujumu mipango ya serikali.hili ni tatizo kwetu Aafrica kwa sababu ni bara la watu weusi mpaka kwenye mioyo yao ,ni bara liliojaa watu wanafiki wanaouza nchi zao kwa wazungu.

huko nyuma chadema ilihubiri nchi nzima kuwa wakiingia madarakani watafuta mikata yote mibovo je mngeifutaje?au ni ile tabia ya kubadili gia anagani kutulisha uongo kama mlivyosema kuwa Lowasa ni fisadi?na kama viongozi wenu wangekuwa wasafi MH MBOWE angeonekana mkwepa kodi mpaka Bilicanas ikafungiwa au vyovyote vile ilivyofanywa?Sumaye angekuwa msafi angenyang'anywa mashamba?

mwisho niseme kuwa yamkini mmenunuliwa siyo bure!!! mtapambana lakini hamtashinda...........
Usafi unaanza nyumabani kwao 'Charity Begins at home' sita acha kuwa kumbusha kwa hili neno 'Any decision you make in life you are responsible for it'
 
Hiv chama Cha Mapinduz mnakunywaga vinini wenzetu, maana akili zenu ni confusion tupu

Sent From Kisana Kiki Iphone
 
Hizo buku Saba mnapewa Za bure bure yaani Hata Kwa kujikanyaga Huku.
 
Back
Top Bottom