Siyo lazima Serikali itoe taarifa ya kila kitu

Usafi uanze nyumbani. Pili serikali haiwezi kuendeshwa kama familia eti baba asimwambie mama na watoto halafu atumie mali ya familia kulipa madeni yasiyofahamika na mama na watoto. Concept hii ni mbaya hata kwa familia tusembuse swrikali.
 
Mimi naona mleta mada amechanganyikiwa. Kazi ya upinzani ni kuisimamia serikali, kufichua maovu ya serikali, nk. Na hapa Chadema imefanya kazi yake ipasavyo na inahitaji ipongezwe. Wewe unafikiri huku kukurupuka kwa watawala kunakopelekea nchi kulipa mabilioni ya fedha, tungeelezwa na serikali?

Kuongoza kunaitaji hekima na busara na sio mabavu. Hakika nakwambia hapa ndani kama sio woga uliowajaa watumishi serikalini sidhani kama mambo yangeenda.
Wazungu sio waoga na hakuna wanachohofia kwetu Hivyo huwezi waburuza au kuwatisha.

Inauma kuona kodi zetu zinatumika kulipa madeni yasiyo ya lazima eti kisa mtu mmoja au kikundi flani kinatafuta sifa binafsi.

Ila ipo siku tutaheshimiana
Yes! Sifa binafsi.

ACHA nikae KIMYA...!
 
Sisi ndo walipa kodi awa viongozi kisa wao ni watumiaji kodi zetu ndo maana wanajisikia raa tyu kujichukulia maamuzi mabovu uku wakijua kuwa siku kikinuka kuna kodi za wasiojielewa tutazichukua kulipa ujinga wao afu kuna watu tutawatwisha zigo la lawama.. Hii awamu sijui lini mtakuwa na commitment

sent from my iPhone 6
 
kuishutumu serikali kuwa kwa nini haikutoa taarifa juu ya kushikiriwa kwa ndege yetu kuko Canada siyo sahihi kabisa kwa sababu naamini kulikuwepo na mazungumzo ili ndege iachiliwe.Hata ndani ya nyumba yako si kila kitu utamwambia mkeo au watoto wako.Yako mambo lazima utayafanya kuwa ya siri ilimradi hayahatarishi maisha ya familia!kwani wewe mh Lissu kila kitu huwa unamwambia mkeo au watoto wako?

kwamba ndege imeshiliwa kwa sababu tunadaiwa na kampuni fulani kwa sababu ya kukattisha mkataba wao wa ujenzi sioni tatizo hapo.kushindwa mahakami siyo tatitizo na huko nyuma niliwahi kusema kushindwa mahakami kunategemea makosa yenyewe au mwanasheria mwenyewe,kumshutumu rais wetu kwa maamuzi anayotoa siyo uzalendo hata kidogo.juzi mumeenda kenya kumsema rais wetu kuwa ni mbaya kana kwamba huyo Kenyatta atashika bunduki awaingize ikulu!!sasa Raila odinga amepinga matokeo ya urais mahakami.sasa ikitokea matoheo yakabadilishwa sijui chadema na lissu mtajificha wapi.

kuna mazungumzo kati ya ACCASIA na serikali yanayoendelea.sasa kitendo cha chadema kuonyesha kuwa yamkini tulishika makinikia kwa makosa ni usaliti kwa taifa letu kwa sababu hata wazungu wanatuona mazuzu .AFRICA haiwezi kuendelea ikiwa tunapambana sisi kwa sisi.kitendo hiki cha chadema kumtuhumu rais wetu hakina tofauti na vita vya wenyewe kwa wenyewe kama vile vya Burundi,CONGO,RWANDA NA SOMALIA NA SUDANI KUSINI!!!Leo mnapambana na rais ili mwingie madarakani .rais wetu anapotaka kukatisha mikata au kama huko nyuma akiwa waziri alikatisha mikata ni kwasababu ya nia njema tu isipokuwa wako watu wanahujumu mipango ya serikali.hili ni tatizo kwetu Aafrica kwa sababu ni bara la watu weusi mpaka kwenye mioyo yao ,ni bara liliojaa watu wanafiki wanaouza nchi zao kwa wazungu.

huko nyuma chadema ilihubiri nchi nzima kuwa wakiingia madarakani watafuta mikata yote mibovo je mngeifutaje?au ni ile tabia ya kubadili gia anagani kutulisha uongo kama mlivyosema kuwa Lowasa ni fisadi?na kama viongozi wenu wangekuwa wasafi MH MBOWE angeonekana mkwepa kodi mpaka Bilicanas ikafungiwa au vyovyote vile ilivyofanywa?Sumaye angekuwa msafi angenyang'anywa mashamba?

mwisho niseme kuwa yamkini mmenunuliwa siyo bure!!! mtapambana lakini hamtashinda...........
I dare to write, this is stupid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unachanganya habari mpaka hija yako imebaki inaning'inia!
 
Hamna mambo ya TOP SECRET kwenye pesa za watu,ukisema baba huwa hasemi kila kitu ni sabb pesa ni zake na ikitokea zinamuhusu mke lazma amshirikishe na sio kila kitu lazma utetee.

Philips X2560
 
Pia siyo lazima serikali kutudai kodi kila mwezi,mwaka. Au?
 
Back
Top Bottom