Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,029
- 6,812
- Thread starter
- #21
Oh,we siyo mgeni.Labda kama wewe mgeni humu
Ningependa kuwablock watu kama nyinyi msitazame posting zangu?
Oh,we siyo mgeni.Labda kama wewe mgeni humu
Umri wote huo unakua na ngozi laini!!..block,ni haki yakoOh,we siyo mgeni.
Ningependa kuwablock watu kama nyinyi msitazame posting zangu?
I am curious too.Did this ever happen? About Waitara?
Mwenye mada si yupo. Aje afafanue hii 'mistaken identity'.Hata mimi nilianza kuona manyota nyota tu, kwamba CDF alijiunga Chadema kumbe ni Mwita Waitara mbunge wa Tarime. Inaitwa lugha gongana.
Ni lini CDF Waitara alijiunga Chadema?
Kaeni kwa kutuliaHata mimi nilianza kuona manyota nyota tu, kwamba CDF alijiunga Chadema kumbe ni Mwita Waitara mbunge wa Tarime. Inaitwa lugha gongana.
Nisaidie kushangaza nawewe hii ndio naisikia Leo.Ni lini CDF Waitara alijiunga Chadema?
yupo mwezini huyo ana yegeNi lini CDF Waitara alijiunga Chadema?
Kinachoshangaza zaidi yeye mwenyewe ni WA pande hizo hizo wanakotokea hao kina waitara wawili (CDF & Mbunge)Mwenye mada si yupo. Aje afafanue hii 'mistaken identity'.
Kwa kweli nami nilianza kustaajabu hilo lililosemwa juu ya CDF.
But apparently ni 'wimpy' Waitara Mwita anayechanganywa na Waitara the soldier!
Ruto alipotofautiana na Rais Kenyata ilitokea nini? Gachagua alipotofautiana na Rais Ruto hadi kupelekea impeachment katika bunge ilitokea nini?Hayo ni maneno ya kuleta taharuki.
Nimeona mtu mmoja anaeleza sasa hivi.
Anasema kiongozi kama Nchimbi ambaye anajua siri nyingi za serikali akijiuzulu au akistaafu au akifukuzwa kazi,anakua chini ya uangalizi kwa muda fulani mpaka hapo itakaponekana siyo tishio kwa usalama wa nchi.
Hili ni jambo linafanyika Duniani kote.
Siyo kwamba anaweza kujiuzulu leo halafu kesho akaenda French Riviera.
Ni kama vile CDF Waitara alipostaafu Jeshi halafu akajiunga na Chadema.
Magufuli akamuondoa Chadema akamrudisha CCM.
Asante Kaka Mkubwa Poppy Hatonn , kwa kuwafundisha madogo humu kuhusu uangalizi!.Anasema kiongozi kama Nchimbi ambaye anajua siri nyingi za serikali akijiuzulu au akistaafu au akifukuzwa kazi,anakua chini ya uangalizi kwa muda fulani mpaka hapo itakaponekana siyo tishio kwa usalama wa nchi.
Hili ni jambo linafanyika Duniani kote.
Well said.Kuwekwa chini ya uangalizi kwa ccm ni kuminywa na kuuawa
Sio Rais ni mfumo wa Nchi. Kiti cha Rais kinaweza kufanya lolote na mtu asihoji popote.Ruto alipotofautiana na Rais Kenyata ilitokea nini? Gachagua alipotofautiana na Rais Ruto hadi kupelekea impeachment katika bunge ilitokea nini?
Hatukuona mambo ya kuwekana kizuizini kwa sababu ya upuuzi wowote ule. Hapa nchini tuna katiba mbovu iliyopitwa na wakati inayomfanya Rais aonekane kama mungu-mtu.
Kutofautiana kimtazamo na Rais eti inamfanya MTU kuwa mhaini! Yaani kama taifa tuna mtu mmoja tu ambaye anatusaidia kufikiri hata kama hana maadili, weledi, umahiri, maono, hekima wala busara ya kufanya hivyo?