Sixtus Mapunda atinga Kahama leo kudeal na UKAWA

Feb 28, 2014
34
0
Katibu mkuu wa umoja wa vijana wa CCM ameingia kahama akiendelea ziara yake ya kila wilaya kuimarisha jumuiya na kuhakikisha kuwa Watanzana hawapotoshwI na taarfa za uongo baada ya UKAWA KUCHOMA MOTO masanduku ya kura kahama baada ya ukawa kuonekana wanashindwa mitaa mitatu kuchoma moto kura na wakala wao kuzimka gafla
 
wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
3,788
2,000
Mwambie Asitie Mguu Kahama,aende Tabora Kwa Misukule,kahama Atapewa Sumu,kule Ccm Ni Mafi Tu.
 
fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,448
2,000
Huyu punda atarekebisha nini kwa Msukuma ambayo hana haraka??? wavumilivu sana ila wakichoka ni basi, roho ya msukuma ni moja ikitoka basi. Miaka 53 ya utawala na huu umaskini bado kuna kengemtu anaongelea kutetea CCM??? ya musaaaaaa kweli hayaishi
 
golden pride

JF-Expert Member
Oct 24, 2014
847
500
Huyu punda atarekebisha nini kwa Msukuma ambayo hana haraka??? wavumilivu sana ila wakichoka ni basi, roho ya msukuma ni moja ikitoka basi. Miaka 53 ya utawala na huu umaskini bado kuna kengemtu anaongelea kutetea CCM??? ya musaaaaaa kweli hayaishi
Mkuu umesahau, kahama kuna muingiliano mkubwa wa makabila kuliko unavyodhani.Tupo wengi makabila mengine kuliko wasukuma, na ndo tulioiangusha CCM Kahama.Bado mwakani
 
fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,448
2,000
Mkuu umesahau, kahama kuna muingiliano mkubwa wa makabila kuliko unavyodhani.Tupo wengi makabila mengine kuliko wasukuma, na ndo tulioiangusha CCM Kahama.Bado mwakani
Wale wote wanaokataa kuendelea kuwa watumwa wa CCM, hongereni sana, najua mpo wengi sana Kahama. Asante
 
mkulima gwakikolo

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
866
1,000
Hako kajamaa nimesoma nako,kalikua kanachukia sana masomo yanayoleta ufahamu .kumbe kalikua kanapalilia uzumbukuku uliokubuhu,kweli kakijana haka kanashindwa kutetea nchi badala yakhe kanatetea majambazi .nikikangalia ua nakashangaa sana,cha ajabu pale chuo kikuu kalikosa mkopo ,kalilia sana lkn leo kanajifanya katoto ka kishua!hakana,lolote wananch msikasikilize
 
Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
35,410
2,000
G
Katibu mkuu wa umoja wa vijana wa CCM ameingia kahama akiendelea ziara yake ya kila wilaya kuimarisha jumuiya na kuhakikisha kuwa Watanzana hawapotoshwI na taarfa za uongo baada ya UKAWA KUCHOMA MOTO masanduku ya kura kahama baada ya ukawa kuonekana wanashindwa mitaa mitatu kuchoma moto kura na wakala wao kuzimka gafla
Ngoja aende akakutane na nguvu ya umma..
 
segwanga

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,788
2,000
Katibu mkuu wa umoja wa vijana wa CCM ameingia kahama akiendelea ziara yake ya kila wilaya kuimarisha jumuiya na kuhakikisha kuwa Watanzana hawapotoshwI na taarfa za uongo baada ya UKAWA KUCHOMA MOTO masanduku ya kura kahama baada ya ukawa kuonekana wanashindwa mitaa mitatu kuchoma moto kura na wakala wao kuzimka gafla
Kwa hiyo ndo amekuwa hakimu anaenda kuhukum kesi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom