excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,956 Sep 16, 2013 #41 Mentor said: Duh izi sredi za siku izi jamani... #sixPark sijui za magari au hifadhi??!! Click to expand... duh! mkuu nawe cjui umeanza kutumia ile kitu? sredi ndio lugha gani sasa!!?
Mentor said: Duh izi sredi za siku izi jamani... #sixPark sijui za magari au hifadhi??!! Click to expand... duh! mkuu nawe cjui umeanza kutumia ile kitu? sredi ndio lugha gani sasa!!?
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Sep 16, 2013 #42 Six park ndo nini?
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,956 Sep 16, 2013 #43 Twilumba said: Join Date : 9th September 2013 Posts : 449 Rep Power : 391 Likes Received : 52 Likes Given: 0 Ugeni nao ni sometime ni ushamba, Si lazima wote tu-comment, tunaweza pita kama guests tu, tuliwa tunasoma na kuyaelewa mazingira! Click to expand... mkuu Twilumba, nafahamu kabisa wafahamu maana ya mtu kuwa great thinker...!! hii principle hujaitumia hapa! je, mtoto akinye kiganja chako, waweza kukikata na kukitupa? kwa kweli kwa jinsi hii, hujamtendea haki wema_1...... mfunze jinsi ya kutoa mawazo ya kisomi!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Twilumba said: Join Date : 9th September 2013 Posts : 449 Rep Power : 391 Likes Received : 52 Likes Given: 0 Ugeni nao ni sometime ni ushamba, Si lazima wote tu-comment, tunaweza pita kama guests tu, tuliwa tunasoma na kuyaelewa mazingira! Click to expand... mkuu Twilumba, nafahamu kabisa wafahamu maana ya mtu kuwa great thinker...!! hii principle hujaitumia hapa! je, mtoto akinye kiganja chako, waweza kukikata na kukitupa? kwa kweli kwa jinsi hii, hujamtendea haki wema_1...... mfunze jinsi ya kutoa mawazo ya kisomi!!!