KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,758
- 39,493
Habari wakuu.
Ngoja nifute machozi kidogo.
Nakumbuka ilikuwa jumapili moja tulivu ndani ya viunga vya Coco beach nikiwa nimetulia kwenye moja ya mawe yaliyopo pale beach huku nikatafakari kwa kina mustakabali nchi yetu changa.
Ghafla nikahisi kama kuna mtu anakuja kwa nyuma yangu sikutilia mkazo kwa kuwa watu walikuwa ni wengi sana.
So nikajua ni wapita njia wengine tu lakini vile vishindo vya miguu vinazidi kuongezeka kuelekea upande wangu nikaona ngoja niangalie nani huyo anayekuja upande wangu.
Nilichokiona sikuamini macho yangu alikuwa ni binti mrembo aliyevaa bikini nyeupe huku akiwa ameshika mapira mawili ya kuogelea.
Kufumba na kufumba na kufumbua huyu hapa mbele yangu.
Nikasikia sauti line sana ikipenya kwenye maskio yangu.
.....itaendelea........