Six pack zimesababisha nikose mpenzi

Six pack zimesababisha nikose mpenzi

Mbona watu wa dar mnapenda sifa sana,eti sixpack,wewe kuza hilo limwili usitafute hela halafu uzeen uanze kutetemeka kisenge na kusumbua wajukuu,,eti akaja kuomba kampan mtu hakujui hata,mbona wewe ni muongo?au uliwatungia watoto wa darasa la tatu au?
 
Huyo suzy ana nyanyua nondo nini mwanamke kutoa vishindo sio mchezoooo!!!!!!
 
uyo demu anaweza akawa ni jini, haiwezekani ad ufukweni akitembea unaskia vishindo.....
kuwa makini mjomba...

hizi story za kutunga bhana....
 
Hii tabia ya kuweka walinzi wazee kwenye geti la Mirembe lazima ipigwe vita, wagonjwa wanatoroka sana,
 
Sasa wewe mwenye 1 pack umeachwa,mie mwenye (0.5) a half pack je??
 
Habari wakuu.
Ngoja nifute machozi kidogo.

Nakumbuka ilikuwa jumapili moja tulivu ndani ya viunga vya Coco beach nikiwa nimetulia kwenye moja ya mawe yaliyopo pale beach huku nikatafakari kwa kina mustakabali nchi yetu changa.

Ghafla nikahisi kama kuna mtu anakuja kwa nyuma yangu sikutilia mkazo kwa kuwa watu walikuwa ni wengi sana.

So nikajua ni wapita njia wengine tu lakini vile vishindo vya miguu vinazidi kuongezeka kuelekea upande wangu nikaona ngoja niangalie nani huyo anayekuja upande wangu.

Nilichokiona sikuamini macho yangu alikuwa ni binti mrembo aliyevaa bikini nyeupe huku akiwa ameshika mapira mawili ya kuogelea.

Kufumba na kufumba na kufumbua huyu hapa mbele yangu.

Nikasikia sauti line sana ikipenya kwenye maskio yangu.

.....itaendelea........

tuachane na hayo kwanza hebu niambie twishen unaenda saa ngapi????
 
Hahahahahahaaaaaaaaaaa yabidi nicheke tu hahahah duh raha sana JF.
Cc Mamaafacebook njoo uone huku vutuko
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom