Kwani ukiimba bila kuacha tumbo nje sauti haitatoka? Umaarafu mzigo wkt mwingine.
Milele na mileleWow beutiful
Una uhakika?! Ntakutafuta kwa ushaidi mkuuhuo mtumbo utakuwa umedhoofishwa na ubebaji wa sembe
Akivua nguo mbele yangu natimka mbioWow beutiful
Teh teh teh contour farmingtumbo limekaa kama matuta yani ukipanda maindi yanaota
Watoto watatu kama sikoseiUna hakika gani ni la bia na nyama? Kama la uzazi? Kwa jinsi linavyoonekana atakuwa ameshazaa huyo.